Yapi ya msingi kabla ya kununua gari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yapi ya msingi kabla ya kununua gari?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by akohi, Aug 3, 2012.

 1. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  1. Nafasi: based on you family how many passengers?
  2.Matumizi: shamba au town tu?
  3. Engine capacity which will affect fuel consumption and cost of maintenance japo experience inaonyesha cc zikiwa kubwa ndo gari inaweza kua na mwendo mkali pia inatulia sana barabaran na pia ni imara zaidi.
  4.Mfuko wako wa kuweza kumudu maana matengenezo.
  5. Spare availability- ilala viwepo
  6.Technology- usinunue garia ambalo hata kupata indicator tu ni issue

  Haijalishi kama ni auto au manual
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,076
  Likes Received: 7,286
  Trophy Points: 280
  Speed je??!!
  Ha ha ha ha!!!
   
 3. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Main factor ni matumizi - kubeba abiria au mizigo, kwa biashara au matumizi binafsi, ukubwa, mazingira ( 4WD or not). Mengine ni running cost ( matengenezo, fuel etc)
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tairi likipasuka utaweza ku replace?
  Kuna jamaa yalimkuta haya.
   
 5. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,575
  Likes Received: 923
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni kohi uliyesoma Kagango,ni-PM mkuu.
   
 6. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Parking

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 7. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Gwamala: ndo mimi wa kagango hahaha nimekula mboko sana za yule mwl wa commerce maana ilikua haipandi hahaha.
  Byabato kastaafu...vp tulikuwa darasa moja?

  Km na ww una mpango wa kununua gari basi wana jf wamechangia na kutoa ufahamu wa kutosha maana ni muhimu kuwa makin japo wengi wetu tuna fuata mkumbo tu yaan bendera fuata upepo, we unaenda shambani na vitz au IST....wat do u expect?
   
 8. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jiangalie hela ya kujaza wese kila siku unayo??!!!
  kama ipo hakuna la msingi jengine la kuangalia ni kuzama showroom na kuvuta gari inayoendana na hela yako uliyonayo!!
   
 9. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  umerudia aliyoandika msema mada
   
 10. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  na vile sio unanunua gari halfu mfukoni unabaki na elfu kumi ya mafuta kuna jamaa angu mmoja alinunua gari kutoka showrum pale kinondoni tu alivyofika buguruni gari la takataka likaigonga light off jamaa mpaka hii leo nahisi kama alipata brain abcess he 's nt okey
   
 11. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sehum ya kulipak usije ukanunua gari ikawa kero kwa majirani kila siku unaomba pa kulihifadhi
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Umenichekesha sana aisee! Sasa si kuna ccm jamani?
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  kakwambia u'PM
   
 14. C

  Cape city Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nice One...
   
 15. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2014
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Ni mimi mkuu, nimeku pm 0764800989 whatsapp number
   
 16. mkalusanga

  mkalusanga Senior Member

  #16
  Oct 8, 2014
  Joined: Nov 12, 2013
  Messages: 131
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kanena "Wese" pesa iwepo
   
 17. M

  Mgodo Mgodoki JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2014
  Joined: Jul 25, 2014
  Messages: 557
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 35
  Kabla ya kununua hilo Gari tafuta Baa mbili tatu kitaani kwenu uweke heshima kwanza kwazifunga watu wanywe na kula bureeeeeeeee.......
   
 18. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2014
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,230
  Trophy Points: 280
  Kwangu mimi:
  1. Performance, gari iweze kwenda mwendo mrefu bila kuchoka wala kuchemsha.
  2. Iwe manual
  3. Diesel Engine is an added advantage.
  4. Iwe SUV
  5. Iwe na uwezo wa kubeba mizigo mizito.
  6. Iwe na kuanzia na CC 4000.
   
 19. Imussa174

  Imussa174 Member

  #19
  Oct 9, 2014
  Joined: Sep 27, 2014
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zingatia na imetembea km ngapi c'use usijikute unajenga urafiki na mafundi garage.
   
 20. Gogo la choo

  Gogo la choo JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2014
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwenye cc 4000..!!??shikamoo..
   
Loading...