Yapi madhara ya kutumia sana ndimu/limao?

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Wakuu salamu

Kama heading inavyoelezea hapo, naomba kujua madhara ya kutumia malio au mandimu kwa kiwango kikubwa.

Nawasilisha
 
Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
 
Wakat nipo nyokaa (under 13) niliambiwa ndimu na limao vinapunguza damu mwilini...

nadhani hapa nitapata majibu sahihi zaidi....
 
Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Sawa sawa
 
Dah....kikemia alkaline na acid zinapokuwa balanced ni pH 7... neutral....na ukichanganya alkaline na acid unapata chumvi na maji....mjue mnatuchanganya sana

Sent using Beretta ARX 160
 
Wakuu salamu

Kama heading inavyoelezea hapo, naomba kujua madhara ya kutumia malio au mandimu kwa kiwango kikubwa.

Nawasilisha

Nipo shule sekondali kulikuwa na malimao mengi na pilipili kipindi icho basi unajua misosi ya shule tena, kama jela miaka mpaka na maliza na mpaka leo maishani mwangu sijawahi kunenepa wala kuongezeka japo bia sana na kitimoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nipo shule sekondali kulikuwa na malimao mengi na pili pili kipindi icho basi unajua misosi ya shule tena, kama jela miaka mpaka na maliza na mpaka leo maishani mwangu sijawahi kunenepa wala kuongezeka japo bia sana na kitimoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unataka kusema limao zinazuia kunenepa? Kwa baadhi ya watu lkn, me nakula limao utadhani ni tunda lile
 
Limao inapunguza mafuta sana mpaka yale utakayo kuwa nayo akiba. Hata pilipili nayo ndo maana nchi kama china, india matumizi mengi ya hivi vitu ukichanganya na viungo uwezi kuwa na mihili kama ya kwetu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Hivi ndani ya limao kuna alkali (base) au kuna acid?
 
limao inapunguza mafuta sana mpaka yale utakayo kuwa nayo akiba.hata pili pili nayo ndo maana nchi kama china,india matumizi mengi ya hivi vitu ukichanganya na viungo uwezi kuwa na mihili kama ya kwetu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ooh! I should stop ASAP... Kuna kipindi nilistop kabisa kula malimao baada ya mtu mmoja kuniambia yanatasababisha damu iwe nyepesi. Baada ya kuacha niliongezeka

Sahivi nimeanza tena, na wananchi wanaonizunguka washaanza kuniambia napungua.
Mwisho jioni hii nimekula limao lizima kabisa
 
Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Malimao na ndimu si yana Citric Acid kwa wingi? How comes Alkalosis?
 
Ooh! I should stop ASAP... Kuna kipindi nilistop kabisa kula malimao baada ya mtu mmoja kuniambia yanatasababisha damu iwe nyepesi. Baada ya kuacha niliongezeka

Sahivi nimeanza tena, na wananchi wanaonizunguka washaanza kuniambia napungua.
Mwisho jioni hii nimekula limao lizima kabisa

limao +tango+nyanya+pilipili+kitunguu+binzari ya unga+asali= utaniambia ukimix kama kachubali zaidi ya kachumbali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Safi sana
 
nipo shule sekondali kulikuwa na malimao mengi na pili pili kipindi icho basi unajua misosi ya shule tena, kama jela miaka mpaka na maliza na mpaka leo maishani mwangu sijawahi kunenepa wala kuongezeka japo bia sana na kitimoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe utakuwa unatengeneza Visceral Fat...Fat depostion ya ndani ambayo hainekani kwa nje.

Ndio maana unaweza shangaa mbona fulani ni mwembamba lakini kapata kisukari na Hypertension?

Chukua taadhari
 
limao inapunguza mafuta sana mpaka yale utakayo kuwa nayo akiba.hata pili pili nayo ndo maana nchi kama china,india matumizi mengi ya hivi vitu ukichanganya na viungo uwezi kuwa na mihili kama ya kwetu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna kitu kama hicho.....
 
Wewe utakuwa unatengeneza Visceral Fat...Fat depostion ya ndani ambayo hainekani kwa nje.

Ndio maana unaweza shangaa mbona fulani ni mwembamba lakini kapata kisukari na Hypertension?

Chukua taadhari

nimekula limia sana na pili pili hata nilikutana na daktari kuniambia ilo ndo limesabisha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom