Yapendekezwa Daktari feki aliyekamatwa aruhusiwe kujiendeleza kimasomo

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
:Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza Daktari feki aliyekamatwa nchini humo kuruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari.
Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki aliwafanyia upasuaji wagojwa tisa kati ya hao mmoja ambae alikuwa mjamzito ndio alipoteza maisha ila alifanikiwa kumuokoa mtoto.
 
Back
Top Bottom