Yani serikali yetu,JESHI LA POLIce watanzania sio wajinga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yani serikali yetu,JESHI LA POLIce watanzania sio wajinga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mujanjabi, Jul 14, 2012.

 1. M

  Mujanjabi Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani wapi tunakwenda?.mm naona tanzania kuna mwimili mmoja tu.mm naona yote haya yanatokea kwa sababu ya majukumu makubwa ya raisi mm huwezi ukanipa kula leo kesho nikaenda kinyume na matakwa yako ndio maana police hivi sasa wanajikanyaga mara mkenya haingii akilini .
   
Loading...