Yani mpaka sasa wataalam wetu hawajajua ni kitu gani kilianguka Kagera

Mkuu wa Mkoa alisema kama kuna mtu alisikia au kuona tukio kwa ukaribu zaidi awape taarifa ili wajiolojia wapate pa kuanzia.
Hicho ni kitu kisichojulikana hakitajulikana, tufahamu tu kuwa kuna muungurumo mkubwa na mwanga mkali usioleleweka ulitokea Kagera basi.
Wajiologia wenyewe wanawauliza wananchi ni kitu gani wananchi nao wanawaliza kilikua ni nini.
intelijensia ya jeshi retu ra porisi haijaweza kugundua?
 
intelijensia ya jeshi retu ra porisi haijaweza kugundua?
Haifanyikazi kwa vitu vya ajabu ajabu visivyoeleweka. Intelijensia ya gesi retu rinataka vitu laini laini kama maandamano hivi au kama mkutano utafaniyika wanaona furogo furugo mbele hapo hatari tupu.
 
Kwani wameshaona kilipodondokea hicho chombo hadi wakakipime kujua ni nini? Hakuna hata mabaki wala eneo husika halijajulikana.

Kungekuwa na chopa za kupiga aerial photography na survey wangeweza kupata pa kuanzia. Hii kutafuta manual kwa kuulizia kwa watu itachukua muda.
tanzania bado tunaishi kwenye ujima!
 
Kuna siku Arusha nilikuwa nakatiza mida kama saa saba ama nae usiku . Hilo eneo ni majarubani. Yani giza nene kichiz hamna hata mwanga. Nilibanwa na mkojo nikakojoa nikaenda zangu ghetto. Ila kesho yake naenda kibaruani nikapishana bibi mmoja wa kinyiramba namfaham nikamsalimia na kuniuliza usiku wa jana mbona ulikuwa unakojoa pale tena nakunitajia sehem
hahahaaaaaa mwanga huyo
 
Hii inaonyesha n jinsi gan hatuendani na Kasi ya sayansi na teknolojia km vp watuambie n kitu kisichojulikana tu bas
Kweli sisi bado sana, yani mpaka sasa hakuna taasisi yeyote au msemaji wa taasisi yeyote inayohusika na mambo ya geology au ulinzi au mambo ya anga au majanga ambaye ameweza thibitisha ni kitu gani kimetokea Kagera na kusababisha kishindo na ule mwanga ulioonekana angani.

Nasikia tu wanasema kama kuna mwananchi au wananchi waliokuwa karibu wajitokeze waseme nini kilichotokea.
Ndiyo maana waka MV Bukoba inazama Waingereza walitangulia kupata taarifa kabla vyombo vyetu hata havijapata taarifa ikabidi wavipatie taarifa.

Soma > Kagera: Kimondo chadondoka Bukoba
 
Back
Top Bottom