Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

unataka kutuambukiza wivu wako?? hizo pesa ni zao au za umma?? kama zao kinakuwasha nini?? tafuta zako nawewe kanunue hata ya mil. 400 maendeleo ndo yako ivo sio unaanza kuponda..unadhani wangenunua magari hayo kama hawana hela???kenge wee...unawaza kwa kutumia masaburi eehh!!

Jamani imetosha naamini amekoma na hatarudia tena
 
wewe kama ni mwanamke basi ulishawahi kusutwa na kama ni mwanaume nahisi wewe ni shoga
mbona BABA LIZ msafara wake ni benz na bmw lakini hamuongei wabongo majungu tu
kama kanunua wewe inakuhusu nini mimi nahisi wewe ndio KILAZA kwa kufuatilia maisha ya watu PUMBAAAAAAAAAAAVU
 
kununua gari ya mil 200 au hata 700,co ulaza kama inavyosemekana bali ni nafac na uwezo walionao ray na ze great ndo vinafanya wawe na vitu kama hivyo!
 
Hata mimi nawapa tano; kutumia gari nzuri kunaongeza status yao na wao status ni muhimu kwa kazi yao (maceleb).

Hata hivyo matumizi ya mtu huwezi sema ni ya kijinga kwani preference zinatofautiana toka kwa mtu na mtu. Kuna watu magari ndo ugonjwa wao; let them be.

I am real happy for them; wakaze buti na sisi Tz labda tutakuwa na movie za viwango soon.

Ni kweli vijana wako creative; though movie industry bongo hatuichukulii seriously wenzetu kama Ghana Graduates wanacheza movie na wana make it in life.

Heshima kwenu na nawatakia mafanikio zaidi.
 
Milioni 200??

Ok, kama ni kweli nadhani ni jambo jema kwa soko la filamu za nyumbani.
 
Hii ni ya RAY.

DSCN4201.JPG

DSCN4197.JPG

DSCN4199.JPG


DSCN4193.JPG


DSCN4185.JPG

Wadau nawashukuru sana kwa kuweza kunipa ushauri na kuniunga mkono kwenye kazi zangu na kufika hapa nilipo huu ni usafiri wangu mpya hii yote ni nyinyi wadau kwa kuweza kununua kazi zangu original na sio feki nawashukuru sana na pia namshukuru Mungu wangu maana yeye ndiye kila kitu waandishi sio scandle tu na mafanikio pia muyaandike
naona umeamua kumjaza hasira na wivu zaidi kwa njia ya picha,atapasuka,lol!!
 
Mbona kina musofe wana hummer? Kununua gari la mil 200 sio ukilaza inategemea yeye amenunua kwa ajili ipi.....Tafuta hela mtoa uzi.
 
nyambafu kabisa we mleta huu uzi. Unataka kila mtu amiliki starlet au vitz? Halafu hummer,cardellac, landcruser v8,nissan navara amiliki nani, mwisho utasema waliozitengeneza ni vilaza.kwa taarifa yako wewe ndio kilaza kwani hujui prefference na stutus za watu zinatofautiana kutokana na uwezo wao kiuchumi. Peleka umbea kuleeeee! Na ukiendelea na umbea wako iko siku watakucameroun
 
naona umeamua kumjaza hasira na wivu zaidi kwa njia ya picha,atapasuka,lol!!

Mbona magari ya kawaida tu? wabongo wengi wanayo na si lazima uwe na hela nyiingi sana.
Landcruiser hudumu muda mrefu. ni ngumu na zistahimili njia zote.
ni bora kuliko hizi gari za baa - saloons - ambazo huchoka haraka na ziko limited mijini tu!
 
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona washamaliza kila kitu kumbe ndo kwanza safari ndo inaanza...vilaza sana hawa jamaa

Nafikiri unatakiwa uwapongeze kwa kujitutumua kimaisha. Wanafanya kazi zao kwa bidii sana na zinawapatia kipato kikubwa kinachowaruhusu kuajiri vijana wengine wengi. Kwa vile jasho lao limewalipa na wamenunua magari hayo kwa ridhaa zao, waache wafaidi jasho lao kulingana na matakwa ya mioyo yao; hawakuiba wala kudhulumu mali ya mtu.
 
Back
Top Bottom