Yani Halotel wanachokifanya ni kutema mate kushoto na kudhani yatadondokea kulia

Hii ni line ya chuo ya TiGo hakuna kitu hapa vumbi tu
IMG_20180308_142817.jpeg
 
Nilishaingia mkenge kulipia bundle ya elfu sabini,kufika home net aisomeki,niliporudi ofisini kwao,ttz ilikua ni router yangu aisomi 4g ya smart,ikawa ndio ishakula kwangu,ila binafsi ninaovyo kwa bongo smile hawana mpinzani ktk suala internet
kwa vifurushi wise kina voda na TTCL hawana unlimited hivyo kwa matumizi makubwa hawafai japo wana speed zaidi kushinda smile.
 
Mi nisha amia voda university ofa yao ipo poa sana.. Halotel baada ya kupunguza MB tena bila taarifa... Nikaona wanaanza kutufanya sisi shamba la bibi yao
 
Mi nisha amia voda university ofa yao ipo poa sana.. Halotel baada ya kupunguza MB tena bila taarifa... Nikaona wanaanza kutufanya sisi shamba la bibi yao
Voda 1500x4weeks=6000 4gb
Ttcl 3000 4gb/4weeks (3000 kibindoni) ttcl is the Best
 
Halotel wanazingua ..nimejaribu bando lao LA usikuu...GB 10 kwa 1500...yaanii speed ni ndogo balaaaa.....asee sitarudia tena, nimekesha nalo na nimeshindwa timiza lengo langu.
 
Nilishaingia mkenge kulipia bundle ya elfu sabini,kufika home net aisomeki,niliporudi ofisini kwao,ttz ilikua ni router yangu aisomi 4g ya smart,ikawa ndio ishakula kwangu,ila binafsi ninaovyo kwa bongo smile hawana mpinzani ktk suala internet
Hivi hii smile inakuaje hasa kwa sie wa mikoani, ina maana wanakupa line unaweka kwenye simu ama inakuaje?
 
Back
Top Bottom