Yanga yazindua kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama

Yanga imeingia mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Card kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama wa klabu hiyo ambayo inaingia katika mfumo mpya wa uendeshaji.

“Ni kadi ya kisasa ya kidigitali ambayo itakua na jina la Mwanachama na picha yake, sasa tunakwenda rasmi kufanya mradi huu ufanye kazi, wale Mashabiki tunaoishabikia Timu yetu sasa twende kuiongezea thamani timu yetu, asichati Mtu yeyote kwenye group la Yanga mpaka atume muamala wa kuonesha amelipia ada yake ya uwanachama, hatutaki Watu ambao hawachangii Timu yetu, ni shilingi elfu 29 tu”-Hersi Said @caamil_88

View attachment 2069311

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Huo sio mchango ni ada ya mwanachama tofautisha mchango na fee
 
Hahaha si wana GSM kwanini asichangie badala yake ameruhusu kampeni ya kuchukua vichechi vya wananchi?

Bora MO alitoa hata Bilion 2 kama mfano wa kuhamasisha mashabiki wachangie, enhee huyo GSM katoa nini

Pia hata lugha ya uwasilishaji wa hilo zoezi sio rafiki msemaji ni kama anawananga kwa mipasho mashabiki.
Vaa uende sasa kama una umia
 
Hivi kulipia uanachama nako ni bakuli???aisee makolo mna shida sana, Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu!!endeleeni kushangilia tu hela za urithi familia ya moh ndo mtakapojua hamjui!!lipia card ya uanachama team yako iongeze mapato.

Hakika kocha Lucy alikuwa sahihi kabisa kuwapeni lile jina la Manyani,japo povu liliwatoka
 
Hivi kulipia uanachama nako ni bakuli???aisee makolo mna shida sana, Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu!!endeleeni kushangilia tu hela za urithi familia ya moh ndo mtakapojua hamjui!!lipia card ya uanachama team yako iongeze mapato.
Mbona nyie Mnaita Bakuli wenzenu pindi wanapochangia uwanja?
Utofauti upo wapi? Unatoa 29000 kwa ajili ya Timu ili iendeshwe vizuri bila shida maana hiyo ada sio pambo ,humu ndio Kuna mishahara na posho na Pesa ya kuendesha club .
Mwana chama wa Simba anachangia uwanja ili baadae wawe na uwanja wao nyie Mnaita Bakuli .
Mkiambiwa nyie Ni bakul mnakasirika haraka , Sasa tupe utofaut wa hivyo vitu viwil ,je pesa ya kadi ya uanachama inaenda kuwa pambo yaan haisaidii timu kwenye Mambo yake ?
 
Kuelemisha nyani mmoja bora upewe machizi mia watakuelewa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
No pay,
No chat
Screenshot_2022-01-06-14-43-24-10.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha si wana GSM kwanini asichangie badala yake ameruhusu kampeni ya kuchukua vichechi vya wananchi?

Bora MO alitoa hata Bilion 2 kama mfano wa kuhamasisha mashabiki wachangie, enhee huyo GSM katoa nini?

Pia hata lugha ya uwasilishaji wa hilo zoezi sio rafiki msemaji ni kama anawananga kwa mipasho mashabiki.
siyo msemaji ni mhamasishaji
 
Back
Top Bottom