Yanga yavuna pesa na kugharamiwa kambi huko Morocco

Yanga imemuuza Kisinda kwa RS Berkane kwa Dola 150,000 (Sawa na Tsh MIL 347.8)

Berkane pia watagharamia kambi ya 'Pre Season' ya Yanga itakayowekwa katika kituo cha michezo cha KING Mohammed VI, Morocco ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya uhamisho wa Kisinda.
Chama kauzwa kwa 1.5B
 
Katika maisha hatuwezi kulingana kwa kila kitu! Vipi tukiulinganisha huo usajili wa huyo Miquson wako na ule wa Lionel Messi kwenda PSG?
Umesema kweli kabisa atuwezi kulingana kilakitu,wachezaji wa Simba wapo juu na wanathamani kubwa.
 
Wewe shtuka,mwarabu akugharamie kilakitu burebure tu!.hamini nakwambia Yanga wakirudi wakaguliwe vizuri.
Ukaguzi tungeanza na hawa ingependeza aisee

Screenshot_20210803-204624_Instagram.jpg

Screenshot_20210620-143056_Gallery.jpg
 
Umesema kweli kabisa atuwezi kulingana kilakitu,wachezaji wa Simba wapo juu na wanathamani kubwa.
Piga hesabu ya gharama ya mauzo ya Kisinda ukijumlisha na gharama ya safari kwenda na kurudi Tanzania , kambi ya hoteli ya kifahari pamoja na posho zote kwa wachezaji na benchi lote la Ufundi kwa kipindi chote wakiwa kambini Moroco. Utapata mpunga mrefu kuzidi wa Chama
 
We unafikiri aliyewaita "mbumbuu" aliwasingizia?.
 
Back
Top Bottom