Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,656
- 59,718
Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo.
Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki kuyaongelea. Mimi sitaki kuwapa air time hawa maana sote tunajua ule mwiko wao wa nyuma unawasumbua sana. Tunajua mwiko ulimfanya mtoto mdogo Kabwili aoneshe picha za msambwanda wake uliojaa ukurutu.
Sitaki kuongelea ule mwiko mliojiwekea wanayanga kwamba unawasumbua wengi ndani yenu, kwamba ni zaidi ya kipindi cha miji ya Sodoma na Gomolla.
Kwa kifupi sana mwiko huo wa yanga unauwezo wa kupakuwa, na tayari wengi wamepakuliwa na kubadilika kabisa. Mwiko huo mliojiwekea wanayanga hata ibilisi mwenyewe hawezi kuwa nao.
Nihayo tu kwa leo.