Yanga yapinga ujio wa Chama simba, huku ikikenua mimeno ujio wa makambo

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
7,665
2,000
Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo.

Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki kuyaongelea. Mimi sitaki kuwapa air time hawa maana sote tunajua ule mwiko wao wa nyuma unawasumbua sana. Tunajua mwiko ulimfanya mtoto mdogo Kabwili aoneshe picha za msambwanda wake uliojaa ukurutu.

Sitaki kuongelea ule mwiko mliojiwekea wanayanga kwamba unawasumbua wengi ndani yenu, kwamba ni zaidi ya kipindi cha miji ya Sodoma na Gomolla.

Kwa kifupi sana mwiko huo wa yanga unauwezo wa kupakuwa, na tayari wengi wamepakuliwa na kubadilika kabisa. Mwiko huo mliojiwekea wanayanga hata ibilisi mwenyewe hawezi kuwa nao.

Nihayo tu kwa leo.
 
libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,645

Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawaki kuyaongelea. Mimi sitaki kuwa air time hawa maana sote tunajua ule mwiko wao wa nyuma unawasumbua sana. Tunajua mwiko ulimfanya mtoto mdogo Kabwili aoneshe picha za msambwanda wake uliojaa ukurutu.

Sitaki kuongelea ule mwiko mliojiwekea wanayanga kwamba unawasumbua wengi ndani yenu, kwamba ni zaidi ya kipindi cha miji ya Sodoma na Gomolla.

Kwa kifupi sana mwiko huo wa yanga unauwezo wa kupakuwa, na tayari wengi wamepakuliwa na kubadilika kabisa. Mwiko huo mliojiwekea wanayanga hata ibilisi mwenyewe hawezi kuwa nao.

Nihayo tu kwa leo.
Nani kapinga acheni Umbumbumbu Mikia
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
21,974
2,000
Daaah swala la mwiko nyuma umelisimamia kidedea sana na inaonekana ni moja ya kauli ambazo zinawakera sana, na wewe ndio unatumia mwanya huo huo.

kuna siku nilimuona mwana yanga akishutumu baada ya hilo neno kutawala kwenye mjadala akilaumu kuwa watu wa simba wamekuwa wakitumia lugha chafu kwenye jukwaa la michezo dhidi ya mashabiki wa yanga

Lakini kuna mtu akauliza kwani hayo maneno hayapo kwenye logo ya timu?? Hakujibu
 
DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
11,153
2,000
Daima mbele nyuma MWIKO
Nyuma nini?
JamiiForums-2101231857.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Msudu

JF-Expert Member
Aug 19, 2021
428
1,000
Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo.

Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki kuyaongelea. Mimi sitaki kuwapa air time hawa maana sote tunajua ule mwiko wao wa nyuma unawasumbua sana. Tunajua mwiko ulimfanya mtoto mdogo Kabwili aoneshe picha za msambwanda wake uliojaa ukurutu.

Sitaki kuongelea ule mwiko mliojiwekea wanayanga kwamba unawasumbua wengi ndani yenu, kwamba ni zaidi ya kipindi cha miji ya Sodoma na Gomolla.

Kwa kifupi sana mwiko huo wa yanga unauwezo wa kupakuwa, na tayari wengi wamepakuliwa na kubadilika kabisa. Mwiko huo mliojiwekea wanayanga hata ibilisi mwenyewe hawezi kuwa nao.

Nihayo tu kwa leo.
Ni kawaida Kwa watoto mapacha.
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
1,124

Acha kutafuta kiki kupitia Yanga wewe,hakuna aliyepinga,maana najua hao Berkane hawakumaliza hata kulipa ada ya uhamisho wake kwenu. Ndomaana imekuwa rahisi kurudi kwenu. Kwani uongo.
 
mpiga vichwa

Senior Member
Oct 21, 2021
191
500
Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo.

Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki kuyaongelea. Mimi sitaki kuwapa air time hawa maana sote tunajua ule mwiko wao wa nyuma unawasumbua sana. Tunajua mwiko ulimfanya mtoto mdogo Kabwili aoneshe picha za msambwanda wake uliojaa ukurutu.

Sitaki kuongelea ule mwiko mliojiwekea wanayanga kwamba unawasumbua wengi ndani yenu, kwamba ni zaidi ya kipindi cha miji ya Sodoma na Gomolla.

Kwa kifupi sana mwiko huo wa yanga unauwezo wa kupakuwa, na tayari wengi wamepakuliwa na kubadilika kabisa. Mwiko huo mliojiwekea wanayanga hata ibilisi mwenyewe hawezi kuwa nao.

Nihayo tu kwa leo.
Mbele mwiko , daima na nyuma mwiko
IMG_20211216_064222.jpg
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,850
2,000
Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo.

Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki kuyaongelea. Mimi sitaki kuwapa air time hawa maana sote tunajua ule mwiko wao wa nyuma unawasumbua sana. Tunajua mwiko ulimfanya mtoto mdogo Kabwili aoneshe picha za msambwanda wake uliojaa ukurutu.

Sitaki kuongelea ule mwiko mliojiwekea wanayanga kwamba unawasumbua wengi ndani yenu, kwamba ni zaidi ya kipindi cha miji ya Sodoma na Gomolla.

Kwa kifupi sana mwiko huo wa yanga unauwezo wa kupakuwa, na tayari wengi wamepakuliwa na kubadilika kabisa. Mwiko huo mliojiwekea wanayanga hata ibilisi mwenyewe hawezi kuwa nao.

Nihayo tu kwa leo.
Ni yanga imepinga au wabazi tu?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom