mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,281
- 44,816
Yanga waache dharau na KIBURI
Kwa hiyo unataka kusemaje?
Kwa hiyo unataka kusemaje?
Mtu anajua mpira anaweza kusema hivi kweli? Hajui kwamba sheria za mpira hazitungwi na Serekali
Id zingine zinaakisi hali halisi ya mtu
Ndugu yangu mambo hayaendi kienyeji hivi. Vitu kama hivi sio vya kushabikia. Leo wamesogeza muda masaa 3 kabla unawachekea eti kisa so called "mchezaji kweli". Kuna Siku watasogeza mbele robo saa kabla ndio akili itakukaa vizuri kuhusu huu uhuni tunaoukemea muda huu.Yupo sahihi.
Wewe kama mchezaji kweli kwanini UOGOPE MUDA?
Dah acha hizo mkuu, Serekali ila mamlaka lakini kwa utaratibu, ndiyo maana Sheria ya FIFA inakataza serekali kuingilia michezo, ikibainika hilo mchi husika inafungiwa inajua hilo.
Kusema mkubwa akosei ni maneno ya kizamani na ni yakipuuzi, hakuna sheria inayoegemea upande mmoja.
Ndugu yangu mambo hayaendi kienyeji hivi. Vitu kama hivi sio vya kushabikia. Leo wamesogeza muda masaa 3 kabla unawachekea eti kisa so called "mchezaji kweli". Kuna Siku watasogeza mbele robo saa kabla ndio akili itakukaa vizuri kuhusu huu uhuni tunaoukemea muda huu.
Kwa bahati mbaya kwako, anayetoa adhabu kwenye soka sio serikali bali ni TFF!!Kuna kanuni ngapi zimevunja na serikali ije kuwa hii iwe ya ajabu?.
Serikali NI baba
Hiyo sababu ni ipi?Sababu ya kusogezwa mbele si wameisha toa?
Ipi?
Kwanini mpaka Yanga waulize ndio wapewe sababu? Mbona mechi ya Azam na Yanga sababu iliambatana na taarifa?
Taarifa ya Yanga iliwekwa mitandaoni kwa ajili ya kuwapa habari mashabiki zake, ila Tff pia walipewa taarifa yao.
Inaendana na kanuni inavyosema?Sababu ya kusogezwa mbele si wameisha toa?
Inaendana na kanuni inavyosema?
Pamoja mkuu inatosha kuniambia who am I arguing with.Ndo maana narudi pale pale.
HYO NI SERIKALI.
mama YAKO amekuomba mwanangu nataka niangalie mechi yako SAA 1 wewe unagoma.
Sio jeuri hyo?
Pamoja mkuu inatosha kuniambia who am I arguing with.
Embu toa ushahidi ama uthibitisho kuonesha kuwa taarifa ilitolewa saa sita mchana. Maana kwenye post za Azam fc, Azam tv, na Yanga kwenye page zao tokea tarehe 23 muda wa mchezo ulikuwa saa mbili na robo usiku. Haya tuoneshe taarifa ya sita mchana ya tarehe hiyo hiyo iko wapi?Utopolo ndio maana akili zenu na viongozi zinafanana nimekuwekea hadi muda halafu unasema masaa 24 si ajabu hujui hata masaa yanavyoenda
Ukimaliza kufanya masihara yako kua seriousTFF IPO chini ya wizara ya michezo
Ukimaliza kufanya masihara yako kua serious
Angekuja Half time mbona ingeekaa poa tu Tena bonge la sapraiz kipindi hiko mnyama tushemtoboa tunduSababu NI kwamba mama samia alikuwa anataka kuangalia hyo mechi akimaliza shughuli ya mwinyi.
Mbona ipo wazi