Yanga yachanganyikiwa wasema Simba imenunua blue tick ya instagram

Benevento

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
4,982
29,535
Katika hali isiyokuwa yakawaida team ya Yanga wakiongongozwa na mashabiki wao wamelalamika wakisema club ya Simba imenunua blue tick ya Instagram (verification account).

Hawa mashabiki wa Yanga inaonesha ni watu wenye roho mbaya na wivu mkali mno wanaweza hawajui kuwa mpira sio uadui hawafai kuitwa watani bora tuwaite maadui tu.
 
1076350
 
Wakati mwingine ni heri kuficha ujinga wako. Sasa hiyo blue tick na yenyewe ndio ya kufungulia uzi.? Hivi kwa ujinga huu si bado mnaendelea kuiabisha nchi. Mtu ataanzaje kujisifia Mtanzania kwa watu kama wewe?

masikini akipata matter core hulia mbwatter.
 
#tupovizuri
1076353
 
Sawa.
 
TASAF leo imesema inawatafuta wanachama wake waaminifu.
 
Wakati mwingine ni heri kuficha ujinga wako. Sasa hiyo blue tick na yenyewe ndio ya kufungulia uzi.? Hivi kwa ujinga huu si bado mnaendelea kuiabisha nchi. Mtu ataanzaje kujisifia Mtanzania kwa watu kama wewe?

masikini akipata matter core hulia mbwatter.
Daaaaaa! Mwana Yanga, mfia timu!
 
kurasa za kijamii za club ya simba ndio zinaongoza kwa idadi ya followers katika timu zote za mpira easf africa. kwa maama hiyo simba inastahili kuwa na kurasa ambazo ni verified.

watu wa yanga acheni wivu. hamasisheni mashabiki wenu wawe wanazi-follow kurasa zenu.
 
Back
Top Bottom