Yanga yaanza kazi

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
Mabingwa wa soka Tanzania Jumapili wameianza vizuri Ligi kuu ya Vodacom kwa kuitandika Tanzania Prisons ya Mbeya mabao 4-0...magoli ya Yanga yamefungwa na Boniphace Abani(magoli 2),Athumani Idd 'Chuji' goli 1 na Ben Mwalala goli 1.....Kazi imeanza sasa....Ubingwa huoooooooooooooooooo
 
Udhamini wa Kampuni ya Bia, TBL, kwa klabu mbili tu za Yanga na Simba haujalenga kukuza soka la Bara. TBL walitakiwa kupeleka udhamini wao katika klabu changa zinazoundwa na wachezaji chipukizi.(Jambo wanalolifahamu)

Timu za Simba na Yanga hazikustahili kupewa udhamini wa TBL kwa kuwa hazizalishi wachezaji wake zenyewe na badala yake zimekuwa zikichukua wachezaji kutoka katika klabu changa,

Simba na Yanga zimekuwa zikichuma wachezaji kutoka timu kama za Manyema, Ashanti United na Pan African za jijini Dar es Salaam, AFC ya Arusha na Kagera Sugar ya Bukoba.

Simba imesajili wachezaji watano kutoka Ashanti United na mmoja Pan African, wakati Yanga ina wachezaji watatu kutoka Kagera Sugar kwa ajili ya msimu ujao.

``Huu ni mradi wa wakubwa wanaotaka kufanya biashara zao lakini hizi timu hazistahili kupewa udhamini,``alisema na kueleza zaidi, ``hazijui kutengeneza wachezaji wao... zinasubiri zitengenezewe ndio ziwasajili.``(Huu kama sio Ufisadi ni nini?hata kwenye kusaini mikataba ya udhamini ukiangalia Mafisadi wa Simba na Yanga waliokuwepo ndo ungejua kwamba huu ni wizi mkubwa)

TBL haikuzitendea haki timu nyingine 10 zinazoshiriki ligi kuu ya Bara kwa kutoa fedha kwa Simba na Yanga tu. miongoni mwa timu 10 zilizobaki zipo zenye uwezo mkubwa kuonyesha kandanda safi uwanjani, tofauti na vigogo hivyo ambavyo vimezoea kulalamika mara kwa mara.
 
..........yanga bwana.....rahaaaaaa
subiri trh 26 oct 2008..hayo maneno hapo juu yatakuwa kinyume chake..na sikia TFF wanampango wa kuwa peleka uwanjani sikumbili kabla halfu wawafungie mpaka siku ya mechi ili msije mkagoma kupeleka timu dkk za mwisho mnyama anatisha wacheza wote 28 wako fiti..........
 
..........yanga bwana.....rahaaaaaa

...Ushindi wa Yanga ilikuwa baada ya kujikakamua saana ili wafanye kama MNYAMA! Lakini mimi nasema kiama kinawasubiri 26-10-2008. This time hata wakitia ngoma kwapani tunawafuata huko huko.

...si unaona hata Dalali (Field Marshall) ilibidi ampishe kwanza aongee wakati wa kutia saini mkataba wa TBL ili Rais wao (Madega) asiingie mitini????

...Julio alikuwa anawatisha je Benzisk si ndo itakuwa balaa??? Tusubiri uhondo siku hiyo!
 
subiri trh 26 oct 2008..hayo maneno hapo juu yatakuwa kinyume chake..na sikia TFF wanampango wa kuwa peleka uwanjani sikumbili kabla halfu wawafungie mpaka siku ya mechi ili msije mkagoma kupeleka timu dkk za mwisho mnyama anatisha wacheza wote 28 wako fiti..........

hahaha mie ni mpenzi wa mpira wa soka letu la taifa ila hapa mdau umeniua....hehehe eti wanapelekwa siku mbili kabla uwanjani kisha wafungiwa humo humo ili siku ya mechi wasije kimbia tena like walivyofany alast time!!

ndo shida la soka letu,miaka nenda miaka rudi mpira ni yanga na simba tu plus maneno mengiiiii mpira kidogo, thats why hatuendelei
 
......yanga bwanaa mechi ya tano hiyo bado rahaaaaa...wameshinda zote kudadadeki! kwa ma maana wna jumla ya point zote.watu ohoo mnyama,mnyama?wamepigwa kitu na prison wakasingizia uwanja tukasema sawa hee wakarudi taifa wakapigwa kitu mbaya na jkt juzi tena wamenusurika dk za mwisho wakadraw.YANGA..BWANA RAHAAA............
 
Kweli kabisa,mla ni mla leo,kusubiri kula tarehe 26/10/2008 mwisho wa dunia ukija kabla ya tarehe hiyo itakuwaje. Yanga raaaaaaaaaaaaaaaaaaaha hadi basi
 
Mmetangulia na basikeli ya mbao, subilia kilima, kwanza nyie wachumba tu nawashangaa mnachekelea mme wenu kuaziliwa.....tutaufunga huu modo trh 26 oct 2008
 
Mmetangulia na basikeli ya mbao, subilia kilima, kwanza nyie wachumba tu nawashangaa mnachekelea mme wenu kuaziliwa.....tutaufunga huu modo trh 26 oct 2008

Unaota mchana?? Wewe unaweza kupoteza pointi nane katika mechi tatu halafu unatoa maneno ya namna hiyo? Hata kma Simba imekuwa inatufunga kwa miaka ya hivi karibuni, hawajacheza soka lolote la kutisha na ukiacha mchecheto wanaokuwa nao wachezaji wa Yangu na tuhuma za Simba kuwanunua baadhi ya wachezaji, Yanga imeendelea kuwa imara na kunyakuwa ubingwa mara kadhaa. Bado tuna rekodi ya kuchukua ubingwa mara nyingi kuliko timu yoyote ile hapa nchini. Mwaka huu Simba msipojiangalia mtapambana na washuka daraja huko chini wakati sisi haooooooooooo!!! kuelekea kwenye ubingwa.. tehe tehe tehe!
 
Haya kama kichwa kinavyosema hapo juu, Yanga wanapeta Simba wanajiandaa for 26 October 2008.... Jana Villa squad kachukua 5-0, wakati watani wa Jadi naona mmejitahidi mkapiga sare ya 2-2 na mandata..... Kuna wakuu wa Simba huko nyuma wanasema eti Yanga waendelee kujifurahisha wao wanangojea 26/10/2008, na hilo ndio tatizo la Simba, wengine wanacheza soka wapate vikombe nyinyi mnafanya zoezi eti ili mumfunge Yanga......

Madega na vijana wote silaha begani mbele tuendelee kutandaza kabumbu.... Yanga hoyeee!!!
 
Hao wakenya naona wameamua kucheza mpira ,yaani kila mechi wanafunga wao tu
Boniface Ambani mechi 5 magoli 8
 
Wanamwonyesha Mwaikimba kuwa mpira si kuuza sura uwanjani. Ni mabao tu kama the Gunnerz!
 
Wakuu mechi na Toto African imeisha,tumewapiga Toto 3-0,,wafungaji ni Boniface 'Magoli' Ambani (magoli mawili) na Ben Mwalala goli moja ...jamani tunatisha.....Mnyama anapiga kesho na Mtibwa sugar tusubiri...
 
Mmetangulia na basikeli ya mbao, subilia kilima, kwanza nyie wachumba tu nawashangaa mnachekelea mme wenu kuaziliwa.....tutaufunga huu modo trh 26 oct 2008

haa haaa teh tehteh yaga bwana..... raha tu...
tarehe 26 imepita
yangaaaaa ah rahaaaaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom