Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,469
- 4,728
Mabingwa wa soka Tanzania Jumapili wameianza vizuri Ligi kuu ya Vodacom kwa kuitandika Tanzania Prisons ya Mbeya mabao 4-0...magoli ya Yanga yamefungwa na Boniphace Abani(magoli 2),Athumani Idd 'Chuji' goli 1 na Ben Mwalala goli 1.....Kazi imeanza sasa....Ubingwa huoooooooooooooooooo