Yanga yaachana na Magoli kipa wake Metacha pamoja na Shikalo

Naipenda Yanga, ila hii tabia ya kusajili kikosi kizima kila msimu hua kinanikera, nakunifanya nijiulize nani aliniroga kuipenda hii timu?

Mwaka 2010 nilisha jaribu kuhama, nakuhamia Azam, lakini nakwao ni upuuzi mtupu, yani hamna tofauti ya Azam na Simba B.
Ndio maana hujitokezaga kuishangilia Yanga kwenye mechi na Simba, kinyume na hapo, huwezi ni jua kua mimi ni Shabiki wa Yanga.
Mungu naomba uniondolee adhabu hii, timu kama haina viongozi wanaojua soccer bhana! Aghhh
pole kaka!!!!
 
Wewe hujui Mambo ya ndani ya soka ya TZ na kuhusu Simba na Yanga...baki hivyo hivyo...Metacha Anna umri mdogo na angeweza kuwa mzuri but this is the end of the road...
Hakuna kitu, mkiendelea na hizo Mambo zenu mtabadili Sana makipa na hakuna mtakachovuna, Kwanza ata angebaki tungeshangaa mmeanza lini kudumu na kipa zaidi ya misimu miwili hapo penyewe metacha kajitahidi Sana kumaliza miaka 2 akiwa Yanga
 
Sasa Farouk ana shida gani? halafu nmeona mahala wanataka kumtoa Mukoko na Sogne jamani hii timu nahama wakitoa hawa watu
 
Yaani sometime mambo yanayofanywa na hawa viongozi wangu ni usenge kwa kweli
Shikalo alikuwa ni kipa mzuri tu mechi za mwisho alijitoa sana.
Nakumbuka ile mechi na simba alivyojigonga kwenye mwamba dah leo kaachachwa kisenge ..
Hivi ni msolla anapanga haya?
 
Huyo Metacha sitaki hata kumsikia...sare ya 1-1 mechi ya ligi na Simba goli la Onyango huyo Metacha anajua alichofanya...kipigo Cha 4-1 mbele ya Simba Metacha anajua pamoja Jafari na Juma Abdul....sare ya 3-3 na Kagera kipa alikuwa Nani? Sare ya 1-1 na polisi kipa alikuwa Nani?
Kwamba kipa wa Yanga kivyo vyote vile hasifungwe?
 
Back
Top Bottom