Yanga watashinda kwa penalty na kuelekea mbele

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Najuaa itawaumizaa kidogo wanna Yanga na kuwafurhisha

Timu yetuu itapata wakati.mgumu sana na kama Ht watatoka drw yà 0-0

Basii tujiandaee kisaikolojia na ushindi via penalty
 
Naonaa redcard moja mpaka SASA sijajua upandegani

Molinga atafunga
...Kamaa wataendaa penalty akipiga Morrison mjiandae kisaikolojia kupoteza ingawa MWISHO watapitaa Yangaa
 
Gwambina nawapenda hamjawahi kuniangusha kama jina lenu lilivo kwenu kila siku burudani
 
Najuaa itawaumizaa kidogo wanna Yanga na kuwafurhisha

Timu yetuu itapata wakati.mgumu sana na kama Ht watatoka drw yà 0-0

Basii tujiandaee kisaikolojia na ushindi via penalty
Kwa ht hii 1-0 wanashinda yanga ft
Wangekosea MASHARRTI WALIKUWA wanaliwa
 
20200223_181729.gif
 
Back
Top Bottom