Yanga wapewa pointi 3 na magoli 3 dhidi ya Mbeya City

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,673
Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
 
Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
hii ndo style mupya ya kumfukuza mnyama au???
 
Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
Kagera walichezesha mchezaji ambaye hakustahili, tukapokonywa pt 3 ambazo zilitunyima ubingwa.
 
Mtanyooka tu.Mnyama hafukuzwi hivyo.Muoshwa naye huoshwa mara hii mmesahau ya mwaka jana mliyotufanyia kagera.
Tukiwakanyaga tutatoa maamzi.Yanga na mashabiki wenu mnalo safari hii mmelianza ss tutamaliza.Wapo wazee wa fitina dar wataumaliza huo mchezo.
 
Refa ataadhibiwa kwa kuruhusu mchezaji mwingine aingie au kwa kutosimamisha pambano baada ya kugundua kuna mtu wa ziada yumo uwanjani. Mchezaji kuingia ndani lazima aruhusiwe na refa. Matokeo ya mechi yanabaki kama yalivyo
 
PicsArt_04-23-11.46.59.jpg
PicsArt_04-23-11.40.24.jpg
 
Attachments

  • 1524421928760.mp4
    5.2 MB · Views: 17
Yanga uwanjani walikuwa11 na mbeyacity12 safi sana,yanga walitaka wapigane masumbwi na mpinzani aliyekatwa mkono mmoja.
 
Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
Yanga Apewa faulo ya Upendeleo kwa Mchezaji wake Kuanguka/kuteleza bila Kuangushwa na Kupewa Faulo iliosababisha wapate goli!
Sasa Goli lao Kujadiliwa ili lifutwe...
 
Kuna Washabiki Fulani Wa [HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] hii habari imewagusa Kweli Lakini Wanaogopa Kucomment wasije Wakameza Maneno Yao Waliyoyatoa Last Season dhidi Ya Simba walipowakatia Rufaa Kagera Sugar.

Musione Aibu daini tu za Kwenye Meza :D:D:D
 
Back
Top Bottom