Yanga wanatafutiwa ushindi?

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Kama kuna mpango wa kuitafutia yanga points kwa mbinde, au ni kweli Lyon walimsajili mchezaji bila kufuata sheria za mpira nchini?
 
a53ed8af95224b42be064d1102e0d6f5.jpg
watani wetu hao
 
Jamani Penye Sheria za michezo ifuatwe kama African lyon wamefanya makosa waadhibiwe vikali sana tena waadhibiwe Barabara, maana naona kuna watu upande wa pili wa Shilling wanataka kupingana na sheria si ndio jamani. Ufike mahali Soka letu lisonge mbele kwa mbeleeee
Nakuunga mkono,maana kuna baadhi ya vilabu wao kuvunja sheria ni kama jadi,mf Yanga walisajili na kuchezesha mchezaji akiwa na mkataba na Simba,hivyo kwa michezo yote 12 waliyomchezesha walistahili kunyang'anywa point!Lazima soka la Tanzania liende mbele!uko sawa mkuu
 
kuna mtu alimchuuza zamunda akidai yeye yupo kamati ya mashindano hakuna lolote litakalo tokea ngoja hukumu itoke
 
Kama kuna mpango wa kuitafutia yanga points kwa mbinde, au ni kweli Lyon walimsajili mchezaji bila kufuata sheria za mpira nchini?
No research ... Fatilia wewe mwenyewe ili utoe habari ambayo ni straight na genuine ..hepuka hisia
 
KAMATI YA SAA 72
Venance Ludovick amesimamishwa kucheza VPL mpaka suala lake litakapokamilika kusikilizwa, mpaka sasa imebainika ni kweli ana leseni mbili zilizotolewa na TFF ambazo ni za kuchezea Mbao na African lyon, kwenye usajili wa mtandao TMS jina la Ludovick kule Mbao linasomeka Ludovick lakini African Lyon linasomeka Ludovic huku herufi K ikiwa imeondolewa, imeagizwa katika kikao kijacho wote kwa maana ya Mbao FC ,African Lyon pamoja na mchezaji wafike na vielelezo vyao vyote ili wafikie tamati.
Suala la African Lyon kupokwa alama halitakuwepo kwa kua mpaka mchezaji anacheza tayali alipewa leseni na mamlaka halali TFF hivyo kosa linakua kwa TFF kumpa mtu leseni bila ya kikao cha kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kukaa hii ina maana atakayeadhibiwa ni afisa wa TFF aliyetoa leseni.
 
Hiyo imekaa vizuri sana Gamba...
 
Nakuunga mkono,maana kuna baadhi ya vilabu wao kuvunja sheria ni kama jadi,mf Yanga walisajili na kuchezesha mchezaji akiwa na mkataba na Simba,hivyo kwa michezo yote 12 waliyomchezesha walistahili kunyang'anywa point!Lazima soka la Tanzania liende mbele!uko sawa mkuu
Waadhibiwe mara ngapi wakati wanatakiwa kuwalipa mikia 50m.
 
Kama kuna mpango wa kuitafutia yanga points kwa mbinde, au ni kweli Lyon walimsajili mchezaji bila kufuata sheria za mpira nchini?
Naona wanatafutiwa ushindi wa mezani. ngoja tuone maana kuna mshua anaidai yanga mabilioni bila wao kujua.
 
Back
Top Bottom