Yanga wameshinda lakini bado ni timu mbovu

Yanga leo kacheza vizuri. Timu imechangamka, imedefend vizuri kama timu pia. Muda utaongea, hiyo Simba haitafika popote.
Acha kujifanya mtabiri basi? Una uhakika gani kama simba haitafika mbali?
 
Back
Top Bottom