Yanga wamebadilisha dhahabu kwa shaba

Yanga bado ni timu bora na imara,kilichotokea ni masuala ya kiufundi tu,bado naipenda yanga yangu.
 
Msisahau ni Kombe la Shirikisho wanakoenda. Huko huko anakolilia Matopeni baada ya honga honga maana ilikuwa ang'olewe Azam FA cup baada ya mechi ya Ndanda
Kesho wanacheza na Madini kutafuta uwakilishi wa Kombe hilo hili la "shaba"
Muwe na akiba ya maneno!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom