Yanga waliwahi kucheza bila kula chakula cha mchana sababu ya TFF kubadilisha muda

junky

JF-Expert Member
May 11, 2017
413
976
Kocha Mwinyi Zahera aliwahi kulalamika kipindi akiwa kocha akicheza dhidi ya JKT Tanzania

Awali mechi ilikuwa ichezwe saa kumi na mbili jioni lakini Tff walibadilisha muda hivyo wakaharibu program nzima ya timu.

Wachezaji saa kumi na mbili asubuhi walifanya warm up na wakaingia kulala vyumbani na walipaswa waanshwe muda waliowekewa ili wake chakula na program zingine ziendelee mara ghafla Katokati Tff wakabadilisha muda na hivyo kuharibu program nzima ya timu na wachezaji wakacheza wakiwa na njaa.

NB:kwenye pre match meeting asubuhi mechi ilijulikana ni saa kumi na moja timu imeweka program yake ya warm up na chakula Kisha mchana mechi inabadilishwa, timu zinaenda kwa program ase.

Screenshot_20210509-115256_1.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom