Yanga wakabidhiwa jezi za doa jeusi walizotaka, na kuwa shushia kipigo ruvu shooting 3 kwa 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga wakabidhiwa jezi za doa jeusi walizotaka, na kuwa shushia kipigo ruvu shooting 3 kwa 2

Discussion in 'Sports' started by nngu007, Oct 21, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145  [​IMG]
  Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto Blog)
  [​IMG]
  Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na Vodacom zikiwa na doa jeusi kutoka kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu (kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa kampuni hiyo, Ibrahim Kaude
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tumepata JEZI MPYA na hapohapo tumeitundika RUVU; Who's next???
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Klabu ya YANGA pasafi kweli... Kazi nzuri mnapatuliza vizuri
   
 4. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hatuwezi vaa doa jekundu hyo ni najisi,. Safi sana akilimali kwa msimamo wako
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  huo ndio msimamo,ni udhalilishaji kuvaa jezi yenye doa jekundu.ni dhambi,ni usaliti.
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Inaonyehsa kutukuza DAMU; Yanga ni Safi...
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Incase unatakiwa kuongezewa damu,utawekewa damu yenye rangi gani??
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,778
  Trophy Points: 280
  ha ha hawa jamaa wameshaona kuwa msim huu lazima ile kwao so wanatafuta visa kila kukiacha ili wafukuzwe kwenye ligi
   
 9. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  tumegoma na hatutaki piga ua kama we unawaza hivo basi pole
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Vipi African Lyion nao walikuwa wanagomea kitu kama cha Yanga ila sijajuaa hasa ni nini,vipi hatma yao?isije kuwa TFF/Vodacom wanaogopa timu kubwa pekee?
   
Loading...