Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
1,278
1,553
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga

Hii hapa


Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64


Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga

Hii hapa


Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64


Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani TFF ni makukaji ,ni mamamba yaliyokaa kinywa wazi kungoja tumbo kujaa hewa.

Haiwezekani,TFF,bodi ya ligi,na drfa ambazo zote kimsingi ni chombo kimoja vijigawie mapato kwa namna hiyi.

Hapo,ingefaa hayo mapato ya TFF ndio yakatwe zingine ziende bodi ya ligi na drfa au bodi ya ligi ambao ndio waandaaji was mechi katika mgao wao ndio wazipe TFF na hiyo drfa.

Then najiuliza tu haya mambo ya makato yapo kwa mechi zotee au ni kwa simba na yanga tu.

Maana nashindwa kuelewa katika mechi may be jkt na kmc kama makato hayo yanakuwepo.

TFF acheni kuchumia tumbo,bodi ya ligi acheni kuifanya ligi kuu kama kitega uchumi chenu .

Then hao selcom nao ni Bomu tu,haohao kwa kushirikiana na wafanyakazi wao wamekuwa wakizihujunu hizi klabu kwa kulangua tiketi za match.

Nao in jipuuu,klabu ziungane zikatae kufanya kazi na hao majizi,itafutwe kampuni nyingine yenye weledi na ufanisi wa kudeal na jambo hill.
 
vilabu vinajitaki kwani vikigoma nani atawazuia kwani wao ndio wazalishaji wakubwa wa mapato ya uwanjani na hii ni kwa sababu viongozi wao wananufaika
 
Jumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000

Mgawanayo wake:

Kodi (VAT): 52,295,338

SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
 
s
Jumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000

Mgawanayo wake:

Kodi (VAT): 52,295,338
SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
simba haipati?
 
Angalau Yanga watapumzika kidogo kutembeza bakuli
Jumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000

Mgawanayo wake:

Kodi (VAT): 52,295,338
SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
 
*TFF*
chama cha mpira
Kinachangiwa na vilabu na kinapata ruzuku toka FIFA

*TPLB*
Bodi ya ligi Tanzania
Hii ni idara ndani ya TFF. Kwanini uwe mzigo kwa vilabu?

*BMT*
Baraza la michezo la taifa
Hii ni idara ya serikali ambayo ipo chini ya wizara ya michezo. Waziri wake yupo na inapata fungu toka serikalini.

*DRFA*
Chama cha mpira mkoa wa Dar
Hawa ni idara ya TFF, sio mzigo wa vilabu..
Na hata kwenye matatizo ya vilabu hawa huwa wapo kimya. MF. Tatizo la uchaguzi Yanga, hawa hawasikiki mpaka tunaambiwa mwenyekiti halali aliepo madarakani sio mwenuekiti!!

*GHARAMA ZA MCHEZO*
Gharama zinakujaje kwa klab?
Uwanja ukishalipwa maana yake ambulance, ulinzi, n.k vinakuwepo. Sasa unalipaje ghalama za uwanja kisha kuwe na ghalama nyingine?

Vilabu vya Tz vitaendelea kuwa masikini milele

Unachangia mpaka idara za serikali?
 
Jumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000

Mgawanayo wake:

Kodi (VAT): 52,295,338

SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
Siku hizi kuna uwazi wa mapato, zile figisu figusi za zamani TFF hazipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom