Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

Niliwahi kutoa uzi huu kuwaonya yanga ni mashabiki wa midomo tu yani yapo yapo tu
Kweli kabisa,
Yanga sio wazalendo hata kwa timu yao.
Badala ya kuja uwanjani na kuichangia klabu wao wanaamua kususa.
Labda wanapenda kushinda tu, la sivyo bora timu ife.
Wangekuja kwa wingi wangeweza kuongeza hamasa kwa wahezaji na kuondoka na ushindi
Na Simba walishinda kwa kuongezewa na hamasa ya washabiki wao.
Waacha wasuse, Simba mukuje kuuwanja kuishangilia timu yenu iwe kwa kufunga au kufungwa.
Hongera Manara
Kaza Uzi




Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga

Hii hapa


Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64


Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Sent using Jamii Forums mobile app
345825000. WAMEGAIANAA HIVYO

YAMGA JANA TUMWETENGENEZA 545000000

WATAGAWANA SH NGAPI ..KHA
 
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga

Hii hapa


Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64


Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao selcom wanapataje hela yote hiyo?
 
Wizi mtupu...
Jumla ya watazamaji walikuwa ni 41,266, Jumla ya mapato; 342,825,000

Mgawanayo wake:

Kodi (VAT): 52,295,338

SELCOM: 15,170,000
TFF: 13,767,982
Uwanja (kwa mchina): 41,339,480
Young Africa: 165,215,792
Gharama za michezo : 19,275,175
Bodi ya ligi: 24,782,368
Baraza la michezo: 2,753,596
DRFA: 8,260,789
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom