Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Jamani naombeni updates za hii mechi inayofanyika muda huu uwanja wa taifa.
Kuna thread inaendelea kutoa updates humu, labda wewe ulianzisha hii haraka haraka kabla hujapitia current threads zinazojadiliwa humu. Tuachane na hii yako tukajadili kule, inapatikana hapa:
https://www.jamiiforums.com/sports/165616-ligi-kuu-tanzania-bara-2011-2012-vpl-25.html
Mpira umekwisha...
Yanga 1:0 Kagera Sugar
Goli limefungwa na Kenneth Asamoah