Yanga: Usajiri Kimya Kimya,au ni Dume suruali?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,176
103,656
Ndugu zetu wa Yanga tunawataka muwe wazi ili tuone namna ya kuwasaidia. Ikumbukwe kwamba mwishoni mwa VPL ilitangazwa klabu kufilisika mara baada ya Mwenyekiti Manji kukutwa na maswahibu ya madawa. Klabu ilikuwa wazi na kupitisha bakula kwa mashabiki na sisi wadau wa michezo.

Katika kipindi hiki cha usajiri tunaambiwa kuwa Yanga inasajiri kimya kimya ndio maana cheche zake hazionekani wala kuandikwa. Napingana na utetezi huu kwa sababu hakuna namna unaweza kuitenganisha Yanga na Magazeti na Social Media za Tanzania. Yanga ni timu ya magazetini, kajambo kadogo tu ni lazima ukakute front page ya magazetini. Kajambo kadogo tu ni lazima ukakute kwenye page za Shaffii Dauda. Sasa iweje tunaambiwa eti wanasajiri kimya kimya..............Semeni ukweli Yanga amekuwa DUME SURUALI-AWAMU YA MAGUFULI!!!!!

Ni wakati muafaka kwa viongozi kuwa wawazi ili mashabiki waweze kuungisha kwa ajili ya usajiri, sisi hatupendi timu ishuke daraja. Tunapenda Niyonzima, Msuve wabaki Yanga ili angalau tupate changamoto japo ya kuishia kuwafunga goli 2 na sio goli 5 kama za Okwi Emanuel

Baada ya Kamusoko kubakia kwao Leo tunaambiwa wamemsajili Juma Nyoso, haaaaa haaaaa kweli Yanga mmefikia huko?
 
Kaka, wewe huoni raha unapotufunga tano bila! Endelea kusajili c unayo pesa... Tutakutana msimu ukianza
 
Ndio muda wenu wa kuongea huu...

Mmeshasahau ya Msimu uliopita?

Rufaa ya FIFA itawasili lini jijini Dar? Ngoja niwaambie, huu usajili wenu una sababu maalum ukizingatia ni kipindi cha uchaguzi. Na jinsi viongozi wenu wanavyojua kuwafumbisha macho, hamtokuja jua kwanini mnapapatikia wachezaji hivi sasa.

Watu wanajiweka mbali na lawama hivi sasa, "Ohh sisi viongozi tulisajili, tatizo lipo kwa wachezaji" ukishtuka mlishawarudisha madarakani walewale mliokuwa hamuwataki. Baada ya hapo mnaendelea na safari ya Miaka mingine bila taji la Ligi Kuu.

Mara zote( mwanzoni mwa msimu) umekuwa wakati wenu, wakati wa Yanga ni kipindi cha muendelezo wa Ligi, Kipindi ambacho mnaanzaga kusema Ohh TFF wanaipendelea Yanga, Ohh Yanga wanalipa waamuzi, Ohh Malinzi anaipendelea Yanga, Ohh TFF inaua soka la Bongo.

Kwa taarifa yenu tu (Najua hamuwezi kuamini hivi sasa,kutokana na kupumbazwa Ki akili na usajili)
Msimu wa 2017/18 Mabingwa wa Kihistoria Mara 27 watanyanyua tena ndoo ya VPL
 
Kuna tofauti kubwa baina ya kus
Ndugu zetu wa Yanga tunawataka muwe wazi ili tuone namna ya kuwasaidia. Ikumbukwe kwamba mwishoni mwa VPL ilitangazwa klabu kufilisika mara baada ya Mwenyekiti Manji kukutwa na maswahibu ya madawa. Klabu ilikuwa wazi na kupitisha bakula kwa mashabiki na sisi wadau wa michezo.

Katika kipindi hiki cha usajiri tunaambiwa kuwa Yanga inasajiri kimya kimya ndio maana cheche zake hazionekani wala kuandikwa. Napingana na utetezi huu kwa sababu hakuna namna unaweza kuitenganisha Yanga na Magazeti na Social Media za Tanzania. Yanga ni timu ya magazetini, kajambo kadogo tu ni lazima ukakute front page ya magazetini. Kajambo kadogo tu ni lazima ukakute kwenye page za Shaffii Dauda. Sasa iweje tunaambiwa eti wanasajiri kimya kimya..............Semeni ukweli Yanga amekuwa DUME SURUALI-AWAMU YA MAGUFULI!!!!!

Ni wakati muafaka kwa viongozi kuwa wawazi ili mashabiki waweze kuungisha kwa ajili ya usajiri, sisi hatupendi timu ishuke daraja. Tunapenda Niyonzima, Msuve wabaki Yanga ili angalau tupate changamoto japo ya kuishia kuwafunga goli 2 na sio goli 5 kama za Okwi Emanuel

Baada ya Kamusoko kubakia kwao Leo tunaambiwa wamemsajili Juma Nyoso, haaaaa haaaaa kweli Yanga mmefikia huko?
Kinachoendelea sasa kwenye usajili wa timu mbili hizi kinasaidia kuthibitisha jinsi gani Simba haikuwa timu ya maana msimu uliopita ikilinganishwa na Yanga. Kuna haja gani timu iliyokamilika kama wapenzi wa Simba walivyoaminshwa msimu uliopita, kufanya usajili wa timu nzima? Yanga haihitaji usajili huo kwa sababu ilikuwa imekamilika zaidi kuliko Simba. Inachohitaji ni kujaza nafasi chache zilizoonekana zinahitaji kukaziwa kulingana na mfumo anaoutaka mwalimu. Kinachofanyika Simba si kuimarisha, ni kuifumua kabisa timu iliyopo. Msije mkashangaa ikawachukua muda kabla ya kutengeneza muunganiko stahiki ndani ya timu, mkilinganisha na Yanga ambao kwa kiasi kikubwa watabaki na timu yao ileile. Hakuna anayebisha kwamba wachezaji wanaosajiliwa na wanaotaka kusajiliwa Simba hivi sasa ni bora zaidi ya waliokuwapo. Swala ni iwapo kweli wanahitajika na watatumika wote. Hakuna anayepinga kwamba nyama, mchele wa Mbeya, mdalasini, samaki, mchicha, bamia, nyanya chungu, n.k. ni mahitaji muhimu kwenye mapishi kuliko ubuyu, ukwaju, karoti, mtindi, kauzu, n.k. Swala ni je, unahitaji orodha yote hiyo ya mwanzo iwapo unachohitaji ni kupika pilau tu? Tusubiri tuone!
 
Back
Top Bottom