OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,185
- 103,685
Ndugu zetu wa Yanga tunawataka muwe wazi ili tuone namna ya kuwasaidia. Ikumbukwe kwamba mwishoni mwa VPL ilitangazwa klabu kufilisika mara baada ya Mwenyekiti Manji kukutwa na maswahibu ya madawa. Klabu ilikuwa wazi na kupitisha bakula kwa mashabiki na sisi wadau wa michezo.
Katika kipindi hiki cha usajiri tunaambiwa kuwa Yanga inasajiri kimya kimya ndio maana cheche zake hazionekani wala kuandikwa. Napingana na utetezi huu kwa sababu hakuna namna unaweza kuitenganisha Yanga na Magazeti na Social Media za Tanzania. Yanga ni timu ya magazetini, kajambo kadogo tu ni lazima ukakute front page ya magazetini. Kajambo kadogo tu ni lazima ukakute kwenye page za Shaffii Dauda. Sasa iweje tunaambiwa eti wanasajiri kimya kimya..............Semeni ukweli Yanga amekuwa DUME SURUALI-AWAMU YA MAGUFULI!!!!!
Ni wakati muafaka kwa viongozi kuwa wawazi ili mashabiki waweze kuungisha kwa ajili ya usajiri, sisi hatupendi timu ishuke daraja. Tunapenda Niyonzima, Msuve wabaki Yanga ili angalau tupate changamoto japo ya kuishia kuwafunga goli 2 na sio goli 5 kama za Okwi Emanuel
Baada ya Kamusoko kubakia kwao Leo tunaambiwa wamemsajili Juma Nyoso, haaaaa haaaaa kweli Yanga mmefikia huko?