Yanga tuendelee kuwekeza kwenye unbeaten record ya kibongo, kwenye kimataifa tuwaachie wanaojua mpira

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
5,428
8,855
Chini ya uongozi wa Eng Hersi sioni dalili ya Yanga ikifika hatua ya robo fainali iwe klabu bingwa wala shirikisho. Kuna tatizo kubwa sana kwanzia management, benchi la ufundi hadi wachezaji. Kwanza wachezaji wamerizika na propaganda za uongozi wa Yanga hivyo wanajua hakuna kiongozi anayeweza kuwawajibisha. Yaani timu inashindwa kutimiza malengo halafu mnapanga ujinga wa ikifika dakika fulani tumshangilie fulani kwasababu ya record ya unbeaten. Hampo serious yaani mashabiki na viongozi wote waliojazwa huo upumbavu ni ujinga. Ukitaka sifa tamba nje ili ujulikane na miamba ya soka Africa na sio kuishia kwa akina Mtibwa ndio mwisho. Uongozi umewekeza kwenye propaganda kuliko uwanjani

Kocha nae hewa kabisa hamna kitu binafsi sina cha kumtetea juu ya timu kutofuzi hatua zinazofuata.

Kwanza ana shida ya kimfumo, unapoheza nyumbani unatakiwa utengeneze umbo zuri la kiushambuliaji kwa kufanya idadi ya wachezaji wako wawe wengi eneo la kumi na nane la mpinzani kuliko idadi ya wachezaji wa mpinzani, pili ni kasi ya uchezaji na ukabaji wa nguvu na haraka ili kuwalazimisha wapinzani wafanye makosa lakini kocha wa Yanga hilo kashindwa kulifanya. Mwisho wa siku timu inacheza kwa kurizika utafikiri wanaongoza magoli matano. Mfumo wake ni wa ovyo mno.

Uchaguzi wa wachezaji wa kuanza umekuwa ni wa ovyo sana, mechi zote tatu amechangia kwa asilimia kubwa kuifanya Yanga washindwe kupata magoli, kiufupi hawezi kufanya maajabu yeyote katika michuano ya kimataifa kama ilivyo kwa mwana propaganda wa Yanga Hersi Said hawawezi kuifanya Yanga ing'are kimataifa hata kidogo. Wao wanauwezo wa kutengeneza unbeaten tu ya kibongo ambayo haistui ulimwengu wa soka Africa.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
.
IMG_20221102_175918.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo letu sisi ni kumfunga simba mara ya mwisho simba kupata ushindi mbele ya yanga ni mwaka 2019 hayo mengine ni yako
 
Sijasoma Uzi wako ila HV unaona pira nililopiga hapo taifa wachezaji wote wako mbele ya mpira ukuta wa belini
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom