Yanga tuendelee kuwekeza kwenye unbeaten record ya kibongo, kwenye kimataifa tuwaachie wanaojua mpira

Chini ya uongozi wa Eng Hersi sioni dalili ya Yanga ikifika hatua ya robo fainali iwe klabu bingwa wala shirikisho. Kuna tatizo kubwa sana kwanzia management, benchi la ufundi hadi wachezaji. Kwanza wachezaji wamerizika na propaganda za uongozi wa Yanga hivyo wanajua hakuna kiongozi anayeweza kuwawajibisha. Yaani timu inashindwa kutimiza malengo halafu mnapanga ujinga wa ikifika dakika fulani tumshangilie fulani kwasababu ya record ya unbeaten. Hampo serious yaani mashabiki na viongozi wote waliojazwa huo upumbavu ni ujinga. Ukitaka sifa tamba nje ili ujulikane na miamba ya soka Africa na sio kuishia kwa akina Mtibwa ndio mwisho. Uongozi umewekeza kwenye propaganda kuliko uwanjani

Kocha nae hewa kabisa hamna kitu binafsi sina cha kumtetea juu ya timu kutofuzi hatua zinazofuata.

Kwanza ana shida ya kimfumo, unapoheza nyumbani unatakiwa utengeneze umbo zuri la kiushambuliaji kwa kufanya idadi ya wachezaji wako wawe wengi eneo la kumi na nane la mpinzani kuliko idadi ya wachezaji wa mpinzani, pili ni kasi ya uchezaji na ukabaji wa nguvu na haraka ili kuwalazimisha wapinzani wafanye makosa lakini kocha wa Yanga hilo kashindwa kulifanya. Mwisho wa siku timu inacheza kwa kurizika utafikiri wanaongoza magoli matano. Mfumo wake ni wa ovyo mno.

Uchaguzi wa wachezaji wa kuanza umekuwa ni wa ovyo sana, mechi zote tatu amechangia kwa asilimia kubwa kuifanya Yanga washindwe kupata magoli, kiufupi hawezi kufanya maajabu yeyote katika michuano ya kimataifa kama ilivyo kwa mwana propaganda wa Yanga Hersi Said hawawezi kuifanya Yanga ing'are kimataifa hata kidogo. Wao wanauwezo wa kutengeneza unbeaten tu ya kibongo ambayo haistui ulimwengu wa soka Africa.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Yanga hiyo hiyo unaoiponda inaongoza ligi na ni bingwa mtetezi
 
Yanga hiyo hiyo unaiponda inaongozwa ligi na bingwa mtetezi
Wewe unahisi kwanini timu uwezo wake uishie tu hapa hapa Tanzania? Hauoni kama tunadhihirisha kuwa kweli tunashinda kwa bahasha za marefa na wachezaji wa timu pinzani? Tulitakiwa tuwa prove wrong mashabiki wa Simba lakini meisho wa siku tumedhihirisha tuna timu ya ovyo kiasi gani

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wewe unahisi kwanini timu uwezo wake uishie tu hapa hapa Tanzania? Hauoni kama tunadhihirisha kuwa kweli tunashinda kwa bahasha za marefa na wachezaji wa timu pinzani? Tulitakiwa tuwa prove wrong mashabiki wa Simba lakini meisho wa siku tumedhihirisha tuna timu ya ovyo kiasi gani

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Bahasha za marefa huku mpira ukiwa unaonyeshwa na azam tv Tanzania Kuna vituko sana
 
At
Chini ya uongozi wa Eng Hersi sioni dalili ya Yanga ikifika hatua ya robo fainali iwe klabu bingwa wala shirikisho. Kuna tatizo kubwa sana kwanzia management, benchi la ufundi hadi wachezaji. Kwanza wachezaji wamerizika na propaganda za uongozi wa Yanga hivyo wanajua hakuna kiongozi anayeweza kuwawajibisha. Yaani timu inashindwa kutimiza malengo halafu mnapanga ujinga wa ikifika dakika fulani tumshangilie fulani kwasababu ya record ya unbeaten. Hampo serious yaani mashabiki na viongozi wote waliojazwa huo upumbavu ni ujinga. Ukitaka sifa tamba nje ili ujulikane na miamba ya soka Africa na sio kuishia kwa akina Mtibwa ndio mwisho. Uongozi umewekeza kwenye propaganda kuliko uwanjani

Kocha nae hewa kabisa hamna kitu binafsi sina cha kumtetea juu ya timu kutofuzi hatua zinazofuata.

Kwanza ana shida ya kimfumo, unapoheza nyumbani unatakiwa utengeneze umbo zuri la kiushambuliaji kwa kufanya idadi ya wachezaji wako wawe wengi eneo la kumi na nane la mpinzani kuliko idadi ya wachezaji wa mpinzani, pili ni kasi ya uchezaji na ukabaji wa nguvu na haraka ili kuwalazimisha wapinzani wafanye makosa lakini kocha wa Yanga hilo kashindwa kulifanya. Mwisho wa siku timu inacheza kwa kurizika utafikiri wanaongoza magoli matano. Mfumo wake ni wa ovyo mno.

Uchaguzi wa wachezaji wa kuanza umekuwa ni wa ovyo sana, mechi zote tatu amechangia kwa asilimia kubwa kuifanya Yanga washindwe kupata magoli, kiufupi hawezi kufanya maajabu yeyote katika michuano ya kimataifa kama ilivyo kwa mwana propaganda wa Yanga Hersi Said hawawezi kuifanya Yanga ing'are kimataifa hata kidogo. Wao wanauwezo wa kutengeneza unbeaten tu ya kibongo ambayo haistui ulimwengu wa soka Africa.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
FB_IMG_1667414111246.jpg
 
Hata mimi nimefwatilia sana Nabi na sasa nimejiridhisha hana mbinu mpya tena yaani kaishiwa.

Timu toka walipocheze na Al hilal
Mpaka leo huoni improvement yoyote yaani wanacheza tu ilimradi.

Kocha pia selection yake ya wachezaji ni mbovu na kuna baadhi ya wachezaji anaogopa kuwaweka bench japo wana viwango vibovu.

NB: Tusitegemee jipya kwa kocha Nabi.
 
Nilisha kuja na uzi wa prof nabi kuishiwa mbinu,nadhani majibu yenu mnajua mlinijibu nini,...
 
Back
Top Bottom