Yanga tafuteni mhamasishaji mpya, hii ni football siyo 'rede'

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,636
7,005
Huyu mhamasishaji wenu hafai hata kidogo. Anaongea kama lialia, anatafuta huruma siku zote.

Hii staili ya uongeaji haifai kabisa kwa mchezo wanaocheza wanaume. Aangalie WWE aone wababe wanaongeaje hata wakipigwa kwa kuonewa.

Kwanini msimnunue kwa mkataba mnono mtu kama Masau Bwire au Thobias Kifaru?

Munawezaje kutengeneza brand kwa kutumia mtu kama yule hajui mpira ni nini?

Wape salaam!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umecopy kwa Manara. Ila Mananra anatumia muda mwingi kuiongelea Yanga kuliko anavyoiongelea Simba.
 
...sawa bwana masau bwire!
Vyura wamekusikia, usijali watakuletea dau uachane na ualimu!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
JERI MURO pekee ndiye aliyeweza kutengeneza hamasa katika tiumu na mpaka aka influence wachezaji kucheza kwa bidii na kujitoa zaidi, mashabiki walivutika kuja kuona kampa kampa tena illussion iliyoitengeneza. Mabishano makali na kebehi nje na ndani ya uwanja na ailiweza kupambana na kumzimisha kabisa HAJI MANARA na timu yake. Sasa manara kabaki peke yake na anajizolea umaarufu mkubwa kwa kuwa hana mpinzani na kila anachoongea hakijibiwi.Simba na yanga kwa asili yake lazima kuwepo na msema hovyo ukileta diplomasia timu itadhoofika mpaka kiuchumi na mashabiki wote watakimbia. Wamwajiri comedian MBOTO au STIV nyerere hao ndio wawe wahamasishaji bila hivyo imbombo ngafu
 
Naona umecopy kwa Manara. Ila Mananra anatumia muda mwingi kuiongelea Yanga kuliko anavyoiongelea Simba.

Na anapiga pesa ndefu
Manara ni level nyingine, yule jamaa anaujua mpira

Miaka ile ya zaman ambayo itv ilikuwa inaonesha champion league manara ndio alikuwa mchambuzi, miaka hiyo sijui ww ulikuwa wapi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom