Yanga: Soka sio "ngongingo na porojo za Manara"

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
6,050
7,051
Leo wiki ya 'wananchi' imehitimishwa kwa burudani kedekede ikiwamo soka lenyewe. Vikosi vya yanga vimetinga uwanjani kupambana na vikosi pinzani, hii yote ni kunogesha shamrashamra na kudhihirisha Yanga walivojipanga. Hata hivyo tumegonga mwamba.

Pamoja na usajili wa wachezaji na "mpiga zumari -Manara" na kutambulisha mbele ya mashabiki "kikosi cha mauaji" lakini imetusikitisha mashabiki kwamba Yanga tumechezea vichapo as well.

Hii imedhihirisha kwamba soka ni zaidi ya ngebe, porojo na tambo. Manara na jezi hazichezi soka, siri ya ushindi ni wachezaji na maandalizi.

Leo nakubaliana na mtani wangu kwamba Manara anatumia ujinga wa mashabiki wa kibongo kujijengea umaarufu kupitia timu ili yeye apige hela kwa dilidili za mjini za akina Azam na GSM...kitu ambacho Mo wa Simba alikataa na kumweleza wazi Manara kuwa pale Simba Haji hatakiwi kuwa mkubwa kuliko timu.

Bahati mbaya leo na wakati tunamchukua kutoka Simba, Haji Manara katengenezewa gumzo ili ionekane SASA YANGA TUMEPATA KITU.

Kama kweli tunataka kujenga timu na kuleta makombe tuondoke kwenye kuwa Timu ya Manara ya upigaji domo, tufanye usajili wa maana, tuwalipe wachezaji na kuandaa kikosi chetu vyema.

Tusiposhituka Manara atatumia Yanga kujijengea umaarufu kwa kujifanya yeye atatuletea matokeo na ndiye kila kitu Yanga.

Hua simpendi Manara kwakua anaharibu focus ya soka la Bongo ila leo ndo nimechukizwa zaidi.

K/Mkwidu
 
Tumia huo ujinga na wewe kujitengemezea umaarufu mkuu...kwani kuna tatizo?
 
Duh mzee umenena aisee. Manara hana profession yoyote ya soka. Ila ngebe tu Timu zinamuajiri na mashabiki tunapiga nae selfie
 
Jamaa Hana akili huyo - kichaa. Ilibidi awe Mirembe hospital Dodoma. He is basically a moron. Aliiba CCM akafukuzwa. Imagine being sacked by CCM- how useless would you be. Simba wamemfukuza Basra ya kuona Hana kitu. Ngoja aharibu kona la Dewji, who is a respected businessman in other countries also. Will he be able the defamation outcome costs etc? Ha is imbecile.
 
Back
Top Bottom