Yanga, Simba na Azam marufuku kuwatumia mapro wenu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Serikali imevipiga marufuku vilabu vya soka vya Yanga SC, Azam FC na Simba SC kuwatumia wachezaji wao wa kigeni mpaka hapo watakapokamilisha taratibu za uhamiaji.

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom