ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Sijui ni nini ushabiki unakua mkubwa mitaani kuliko kiwango tunachokuja kuonyeshwa uwanjani....hizi timu kwa Mimi naona in kama zimezeeka sasa so kama ilivyokuaga miaka ya nyuma...nilitegemea simba waonyeshe soka kubwa Leo kulinganisha na yanga yenye migogoro....Yanga nao wameonekana kumiliki Mpira lakini finishing wameshindwa..!
Au yawezekana hawa wachezaji wrote in wale wale kwa maana % kubwa wengi wamezeekea ndani timu hizi mbili kiasi twaweza amini hata utafutaji wa vipaji vipya umekua mgumu
Emmanuel Okwi wa simba amewahi kuwa mchezaji wa Yanga
Mrisho Ngasa wa Yanga amewahi kucheza Simba
Yondani Wa Yanga amewahi chezea Simba
Haruna Niyonzima Wa Simba amewahi chezea Yanga
Deogratius Munisi wa Simba amechezea Yanga
Haruna Moshi Wa Yanga amewahi chezea Simba
Kassim Tambwe wa Yanga amewahi chezea Simba
Ibrahim Ajib wa Yanga amewahi kucheza Simba
Hii hali huwezi ikuta kwa wenzetu hasa walioendelea mfano mchezaji kuhama toka real Madrid kwenda Barcelona ama Manchester united kwenda man city kirahisi ...
Je hii hawezi kua shida ya timu zetu hizi mbili kuendelea kupoteza mvuto Mara zikutanapo uwanjani?
Sent using Jamii Forums mobile app