Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kwa Simba SC, wafanye kama Manchester Utd

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa.

Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya GSM apewe timu moja kwa moja, huku wakipinga adhabu ya Makamu M/Kiti Mwakalebela.

Kutokana na hali hiyo itapelekea mchezo wa Simba SC na Yanga SC kutochezwa hivyo kuahirishwa.

Vinginevyo Simba SC wamejipanga na kujiandaa vilivyo na wanakusudia kufanya mauaji zaidi ya yale ya Kimbari.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
 
Uto hii mbinu itasaidia kurudi na kujipanga upya, msije kusema hamjaambiwa.
 
Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa.

Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya GSM apewe timu moja kwa moja.

Kutokana na hali hiyo itapelekea mchezo wa Simba SC na Yanga SC kutochezwa hivyo kuahirishwa.

Vinginevyo Simba SC wamejipanga na kujiandaa vilivyo na wanakusudia kufanya mauaji zaidi ya yale ya Kimbari.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
Hapo uzi tayari, Rage akiwaita majina mnayoendana nayo mnasema mzee anazengua

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa.

Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya GSM apewe timu moja kwa moja.

Kutokana na hali hiyo itapelekea mchezo wa Simba SC na Yanga SC kutochezwa hivyo kuahirishwa.

Vinginevyo Simba SC wamejipanga na kujiandaa vilivyo na wanakusudia kufanya mauaji zaidi ya yale ya Kimbari.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana.
Yanga hatuna presha kwa simba kabisa,tutapambana kwa kadri ya uwezo
 
Ushauri mzuri natumai wataufanyia kazi.
Kajisalimisha
Screenshot_20210503-191844.jpg
 
Back
Top Bottom