Yanga SC na Simba SC wanalalamikia viwanja vya timu za mikoani ni vibovu je wao wanaweza kuonyesha viwanja vyao?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Kuna mijadala inaendelea kuhusu viwanja vya mikoani kuwa ni vibovu na vinasababisha matokeo mabaya kwa hizo timu kubwa!

Wadau wa soka wanauliza hao Simba SC na Yanga SC wanaweza kuonyesha hata kiwanja kimoja cha mfano wanachomiliki ukiondoa Uwanja wa Taifa au Uhuru ambavyo ni viwanja vya Serikali.

Simba na Yanga wajiongeze na waige mfano wa timu ya Azam ambayo wamewekeza vizuri sana na wana pitch nzuri,hostel,bwawa la kuogelea,chumba cha mazoezi ya viungo n.k
 
Sawa mshabiki wa Azam

Waache ujinga wacheze mpira!!!Hao wanaocheza nao mbona wao hawalalamiki!
 
Back
Top Bottom