Yanga Sc 1 Vs 1 Township Rollers

Much just reserve your comment wale jamaa wakifika kwenye uwanja mzuri kama taifa I swear to God ata mlete mkabe kuanzia mwenyekiti, wajumbe wa kijiji mpaka wananchi kutoboa itakuwa shida kama kuulizia bikira wodi ya wazazi.
Acha kuapia ujinga mkuu... Timu kubwa kuzidi hiyo zilikufa Taifa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom