Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 152,998
- 453,891
Tufanyeje sasa wenye uzi wenu mmeukimbiaDada naona mlijua kutukalia kooni mana uzi mzima mmejaa nyie tu.
Tufanyeje sasa wenye uzi wenu mmeukimbiaDada naona mlijua kutukalia kooni mana uzi mzima mmejaa nyie tu.
Eidd mubarak😂😂🙈🙈🙈
HawajielewiDAIMA MBELE.... NYUMA MWIKO!View attachment 1178180
Hahahaa. Tulikuwa busy na Khabar za Morogoro. 😀😀Tufanyeje sasa wenye uzi wenu mmeukimbia
Minal Faidhina mdogo wangu. Uje basi kesho.Eidd mubarak
Achana nae huyo Ana hasira ya sare ya Jana Leo humu Kila mtu anamtukana
😂😂😂😂Hahaha umeshatoka shambani kwanza.
Na mm jamani nialikweMinal Faidhina mdogo wangu. Uje basi kesho.
Acha kuapia ujinga mkuu... Timu kubwa kuzidi hiyo zilikufa Taifa.Much just reserve your comment wale jamaa wakifika kwenye uwanja mzuri kama taifa I swear to God ata mlete mkabe kuanzia mwenyekiti, wajumbe wa kijiji mpaka wananchi kutoboa itakuwa shida kama kuulizia bikira wodi ya wazazi.
NakukaribishaEidd mubarak
Allahumma takkabar minna wa minkum.Nakukaribisha
Sipo dada daah ingenoga wallah wanangu hawajamboMinal Faidhina mdogo wangu. Uje basi kesho.
Karibu sana Dada ake huku Shamba tuje kula sikukuu.Na mm jamani nialikwe
Tooobaa!!!!!Sipo dada daah ingenoga wallah wanangu hawajambo
Watani wana bali mbaya,Hizo jezi wali print kwa watengeneza mihuri kariakooDAIMA MBELE.... NYUMA MWIKO!View attachment 1178180
Tooobaa!!!!!
Haya ukirudi tuwasiliane mdogo wangu.
Asante sanaAllahumma takkabar minna wa minkum.Nakukaribisha
Bahat mbay sipo nisalimie my wizooo na wanangu
Usinitie uchungu basUnapitwa!