OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,711
Mpira unaendelea
View attachment 1177750
Mpira unaendelea
Mapema sanaYanga mshaanza kutuzalilisha
Wapuuzi Sana, nipo hapa natafakari kuhusu hiki king'amuzi. Niweke tu supersport, league ya bongo nitakuwa naangalia vibanda umiza!Hawa Azam malofa sana asee..!
Wako live mkuuWapuuzi Sana, nipo hapa natafakari kuhusu hiki king'amuzi. Niweke tu supersport, league ya bongo nitakuwa naangalia vibanda umiza!
WanazinguaMapema sana