Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Gape la point 11 unafurahia na kuna kipindi gape lilipungua hadi point tano na simba akawa na mechi moja mkononi ili akishinda ziwe mbili ila gape likaongezeka hadi 10. Kuna muda gape lilifika point 7 ila likaongezeka tena hadi 10. Comfortably tunachukua ubingwa kwa gape la point 10
hivi gape ndio kitu gani?
 
Back
Top Bottom