Yanga nendeni mahakamani kama mna uhakika mmeonewa

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Simba SC wamepewa point tatu na kamati ya TFF na sasa Simba inaongoza kwa point 61. Je Yanga FC wakienda mahakamani ligi itasimama kama ilivyosimama Zanzibar kwa miezi sita?

My take:

Yanga FC nendeni mahakamani kama mna uhakika kuwa mmeonewa.
 
Kweli wewe ni muoga, maana hata hao Yanga unawashauri ki uogauoga. Na sijuwi kama unaelewa unachozungumzia ! Eti Simba sc wamepewa point 3 na kamati ya Simba sc.......sijuwi nini hicho !! Mbona unajichora sana mkuu?
 
Simba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
Kweli wewe ni Askari Muoga!
 
viongozi wa kagera wachunguzwe ni pamoja na kocha wao, na huyo fakhi aliingia dk ngapi kuinajisi mechi hiyo??
 
Simba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
Siyo Yanga bali Kagera ndo waende kupinga kupokwa hizo pointi.
 
Simba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
Kwani ni lazima kuanzisha uzi? Jamani hebu ipeni jf heshima yake! Unaanzisha uzi hata hujui chochote! Sasa kagera ndio wamepokwa points iweje Yanga iende mahakamani imeonewa wapi?
 
Hata yanga wanaweza kwenda mahakamani, maan wana interest ya ubingwa....
Mpila bongo wanuka rushwaHata yanga wanaweza kwenda mahakamani, maan wana interest ya ubingwa....
Mpila bongo wanuka rushwa
Kwenda kushtak nin sasa kuwa kanuni ibadilishwe mchezaji akiwa na kad za njano tatu acheze tu!? Kweli mapenzi yakizid akili inasimama kufikiria! Pole
 
Simba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
Acha upuuzi na utoto wewe,,,yanga wamepokonywa point zipi na timu gani imempokonya yanga point zake think before talk,,,,,gongowazi weweeee
 
Simba SC wamepewa point tatu na kamati ya TFF na sasa Simba inaongoza kwa point 61. Je Yanga FC wakienda mahakamani ligi itasimama kama ilivyosimama Zanzibar kwa miezi sita?

My take:

Yanga FC nendeni mahakamani kama mna uhakika kuwa mmeonewa.
Mi nilidhani wanaenda Mahakamani kumshataki Chirwa walie msajili kwa million 200 leo anagomea mechi, Yanga na Mashabiki wake ni wajinga sana... Yani viongozi wanatoa boko halafu msala mnatupa simba na TFF, hebu ongeleeni mambo yenu basi
 
Simba SC wamepewa point tatu na kamati ya TFF na sasa Simba inaongoza kwa point 61. Je Yanga FC wakienda mahakamani ligi itasimama kama ilivyosimama Zanzibar kwa miezi sita?

My take:

Yanga FC nendeni mahakamani kama mna uhakika kuwa mmeonewa.
Kwan Yanga na Kagera wanaundugu?
 
Back
Top Bottom