Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,360
Ingesaidia sana tasnia ya mpira wa miguu Kama Tunguweka kufanya fair postmortem ya mchezo waJana. Kuonesha night kiasi gani kimepatikana na jinsi kilivyogawanywa haisaidii sana. Ingesaidia Kama tutatoa changamoto jinsi yahoo kuongeza mapato Kwa timu kama Toto. TFF waamke waache mambo ya kizamani yahoo kutueleza idadi ya fedha iliyopatikana.