Yanga na kwenye hili pia mtamlalamikia Karia?

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Hawa jamaa wana malalamiko hadi aibu, kila siku Karia Karia, angalia hata kwenye top scorers wa ligi hawapo hawana hata mchezaji mwenye goli 8,hawa watu wako serious kweli?

Jana kwenye under 20 offside ya wazi goli limekataliwa wanasema TFF na karia wanawaonea.

Kwenye ligi ya wanawake kule mwanza simba kashinda moja kawa bingwa huku wao wameshinda 6-0 za kimagumashi wanalalamikia kipa wa timu pinzani aliyemrukia teke mchezaji wa simba queens na kupewa kadi wakadai simba queens wanapendelewa.

Najaribu kujiuliza kama ule mtama aliopigwa konde boy kwenye penalty box mechi ya simba na alh alhy refa akapeta penalty au ule mkono beki wa kaizer chiefs alioshika kwenye penalty box ingekuwa ni hawa ndugu zangu sijui ingekuwaje, hata wachezaji wa simba wamekuwa very matured siku hizi hapo sisemei mitama miwili alioypigwa morrison ndani ya box kule sumbawanga vs prisons.

Screenshot_2021-06-20 Instagram.png
 
Kama kweli unajua mpira huwezi na Jana umeangalia u20 basi tuache ushabiki wa kijinga hata mimi Jana nimeona wameonewa ikumbukwe wale wote ni watoto hupaswi kuwakandamiza imeuma sana kale kadogo kukataliwa goli lile.
 
Kama kweli unajua mpira huwezi na Jana umeangalia u20 basi tuache ushabiki wa kijinga hata mimi Jana nimeona wameonewa ikumbukwe wale wote ni watoto hupaswi kuwakandamiza imeuma sana kale kadogo kukataliwa goli lile
my God....unasema ile siyo offside?
 
Yanga timu basi, au genge la wahuni, kila nmoja anajisemea yake Mara Nzee Mpill Mara Juma nugaz, Mara bumbul Mara hersi yaan kila MTU mtoaa taarifa ya klabu
Juma khatibu au kwa jina la utani antonio nugaz siku hizi haongeongei sana sijui nini kimemkuta?
 
Sasa huyo kalia si atoke ili watu tumsilalamikie. Kwanini anag'ang'ania hadi kuogopa ushindani. Kama ameshafanya mazuri kuliko marais wote, kinachomrudisha nini tena kwa kutumia nguvu.
Sema nini mchawi wa Yanga siyo karia, karia anatumwa na yule jamaa wa kule kwenye moshi.
Tunamsubiri siku akichukua fomu ya urasi tumpige nalo hili la kuitesa Yanga miaka 5, Kisa tu eti yeye ni Simba.
 
kaogopa ushindani gani? atoke kwa kosa gani? hiyo sheria inayolalamikiwa ya wadhamini iliwekwa na jamal malinzi mwaka 2014 na hao wagombea walioingia kichwakichwa wakakosa wadhamini wanamlalamikia karia yaani atoke kisa yanga wanalalamika ?kisa sarpong hafungi au niyonzima hajui kutoa assist?
Mafanikio ya karia ni makubwa mnoo acha amalizie miaka 4 iliyobaki
 
Mm ni Simba damu lile goli la Jana ni halali kwa madogo wa yanga maana aliyefunga hakuwa offside.

Ila ujinga ni kwamba aliyefanya lile kosa ni yule mdada mshika kibendera ajabu watu wa yanga wanampa lawama karia ,hapo tu ndio naonaga majitu ya yanga ni mandezi full upimbi bongo zao zimejaa makamasi na vinyesi.

Kila lawama ni kwa mzee wa watu karia ,utafikiri karia yeye ndie anakuwa uwanjan kucheza au kuchezesha mechi ,huu uropokaji wa hovyo hovyo ndio unanifanya kila siku niwaone ni maboya tu ,mpira una pande mbil furaha na maumivu ,kubebwa na kuonewa ,yote haya hutokea uwanjan kwa timu yoyote ile ,matukio mangap yanga amebebwa wazwaz na waamuz ? Ukipata tukio la kubebwa tegemea pia na tukio la kuumuzwa vile vile en waamuz nao ni watu wana mapungufu yao.

Vipi Jana kaizer bila var kutumika si walikuwa wamekataliwa goli lao? Na aliyeamua kuwa sio goli ni kibendera ndio var ikasiadia kutoa sintofaham hiyo ,so Jana madogo wa yanga kilichowanyima goli ni umaskin wa lig yetu kutokuwa na var pengine wangepiga matuta kumpata mshindi .Sasa ndugu zang utopolo kila kitu kwa karia hapo tu ndio mnaniboa sana ,hata aje kindoki awe rais wa tff Kama mna timu mbovu ubingwa hampat maana kila mtu atatakiwa ashinde mechi zake ,dawa ya ubingwa we shinda mechi zako Tena kwa magoli kuanzia mawil au matatu hizi kelele Wala huwez kuwaza
 
dakika iliposimama walienda kuangalia nini nje?
 
Marefa/ waamuzi wabovu wapo chini ya nani kama sio TFF? Je TFF inaongozwa na nani kama sio karia?
 
mpira wa miguu Tz na yanga sc ni chini ya Tff ndiyo maana tunamlaumu karia kwa kusababisha kina sarpong hawafungi na kina niyonzima wanashindwa kutoa assists
Screenshot_2021-06-20 Instagram(1).png
Screenshot_2021-06-20 Instagram.png
 
Kama kweli unajua mpira huwezi na Jana umeangalia u20 basi tuache ushabiki wa kijinga hata mimi Jana nimeona wameonewa ikumbukwe wale wote ni watoto hupaswi kuwakandamiza imeuma sana kale kadogo kukataliwa goli lile.
Mkuu ukoserious kweli au unatania??
 
kaogopa ushindani gani? atoke kwa kosa gani? hiyo sheria inayolalamikiwa ya wadhamini iliwekwa na jamal malinzi mwaka 2014 na hao wagombea walioingia kichwakichwa wakakosa wadhamini wanamlalamikia karia yaani atoke kisa yanga wanalalamika ?kisa sarpong hafungi au niyonzima hajui kutoa assist?
Mafanikio ya karia ni makubwa mnoo acha amalizie miaka 4 iliyobaki
Unaichukulia poa Yanga. Hivi hujui kama yanga wakiamua wasishiriki Ligi. Ligi hii itakufa, hujui asilimia 70% ya wateja ya mdhamini Azam watapotea. Huwa unaenda vibanda umiza kuangalia mpira. Hujui kuwa watanzania wanaangalia mechi mbili tu ligi kuu Tanzania bara. Karia kitu gani mbele ya Yanga wanaoweza kugomea maelekezo ya katerefone shabiki kindakindaki wa simba na akatulia.
 
Hawa jamaa wana malalamiko hadi aibu, kila siku Karia Karia, angalia hata kwenye top scorers wa ligi hawapo hawana hata mchezaji mwenye goli 8,hawa watu wako serious kweli?

Jana kwenye under 20 offside ya wazi goli limekataliwa wanasema TFF na karia wanawaonea.

Kwenye ligi ya wanawake kule mwanza simba kashinda moja kawa bingwa huku wao wameshinda 6-0 za kimagumashi wanalalamikia kipa wa timu pinzani aliyemrukia teke mchezaji wa simba queens na kupewa kadi wakadai simba queens wanapendelewa.

Najaribu kujiuliza kama ule mtama aliopigwa konde boy kwenye penalty box mechi ya simba na alh alhy refa akapeta penalty au ule mkono beki wa kaizer chiefs alioshika kwenye penalty box ingekuwa ni hawa ndugu zangu sijui ingekuwaje, hata wachezaji wa simba wamekuwa very matured siku hizi hapo sisemei mitama miwili alioypigwa morrison ndani ya box kule sumbawanga vs prisons.

Kwa vile kuna mchezaji wa Yanga ana magoli 7, top scorer inaishia goli 8. Very kind of you people.
Angekuwa na goli 9, top scorer ingeishia 10.
 
Unaichukulia poa Yanga. Hivi hujui kama yanga wakiamua wasishiriki Ligi. Ligi hii itakufa, hujui asilimia 70% ya wateja ya mdhamini Azam watapotea. Huwa unaenda vibanda umiza kuangalia mpira. Hujui kuwa watanzania wanaangalia mechi mbili tu ligi kuu Tanzania bara. Karia kitu gani mbele ya Yanga wanaoweza kugomea maelekezo ya katerefone shabiki kindakindaki wa simba na akatulia.
Sitaki kuamini Yanga tuna mishabiki mingi vilaza namna hii.
 
mpira wa miguu Tz na yanga sc ni chini ya Tff ndiyo maana tunamlaumu karia kwa kusababisha kina sarpong hawafungi na kina niyonzima wanashindwa kutoa assists
View attachment 1824576View attachment 1824577
Nimemjibu niliye mquote kwasababu kuna kauli katoa juu ya tukio la kukataliwa goal jana japokuwa lilikuwa ni goal halali kwa Yanga lakini haoni sababu ya kupewa lawama karia kwasababu ni makosa ya waamuzi. Ndio maana nikamuuliza hao waamuzi wabovu wapo chini ya nani kama sio TFF? Na TFF inaongozwa na nani kama sio Karia? Wewe unadandia gari kwa mbele unaleta ushabiki wako wakati haujui hata nilim quote kaongea nini. Yanga wana matatizo yao lakini waamuzi wabovu wapo na wametoa maamuzi mengi mabovu na waathirika wa hili sio Yanga pekee ni timu nyingi zimeathirika na maamuzi mabovu na timu nyingine pia zimenufaika na maamuzi mabovu hata Yanga pia. Sipo kwaajili ya ushabiki unaoleta wewe bali nazungumzia uhalisia.
 
Back
Top Bottom