Yanga na Africa lyon

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Yanga 1-0 Africa lyon mfungaji davies mwape updates yanga 1-1 Africa lyon dk 44
 
he he magamba leo mmeamka hongereni ila angalia wasiludishe duh itakuwa aibu sana
 
Yanga mkifungwa leo au kutoa sare...pigeni bakora hao viongozi mpaka wachezaji.....
 
nasikia wewe ni kati ya timu inayoshika mkia yaani ina pointi 3 baada ya kucheza mechi 4....kipindi cha pili ndiyo kinaanza

mkuu tumeamua kuwapa hifadhi wazee wa ligi hapo chamazi ili waumie na wao wajenge..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom