Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari wamesha sawazisha jamaa, tajiri wao yuko bize kutuliza so lake...he he magamba leo mmeamka hongereni ila angalia wasiludishe duh itakuwa aibu sana
hii nini tena, nashabikia Man C
Tayari wamesha sawazisha jamaa, tajiri wao yuko bize kutuliza so lake...
bado kidogo kipindi cha pili kiaze.....vip bado dk ngapi..
poa mkuu shusha mambo ya punde(updates)bado kidogo kipindi cha pili kiaze.....
...huwa mnashangiliaje...........hahahahahhii yanga mnaiharibu mnapotuita magamba!
nasikia wewe ni kati ya timu inayoshika mkia yaani ina pointi 3 baada ya kucheza mechi 4....kipindi cha pili ndiyo kinaanzapoa mkuu shusha mambo ya punde(updates)
karibu sana fomu bado hazijajaa..
Pole sana mwaka huu mnalo mpaka mbadilishe rangi za jezi...nasikia African Lyon wameshika kiungo....hahahahii nini tena, nashabikia Man C
<br />yanga 2-1 lyon gumbo dk 18
nasikia wewe ni kati ya timu inayoshika mkia yaani ina pointi 3 baada ya kucheza mechi 4....kipindi cha pili ndiyo kinaanza