Yanga mna la kujifunza kuhusu mechi za nyumbani

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,872
2,000
Duh mbona tunaaminishwa kuwa hawa jamaa pamoja na ndugu zao Tp_Mazembe wanampunga wakutosha iweje leo wanalia kinyonge ivo
Timu za DRC Ni tajiri Sana! Analazimisha kudai hawana fedha ili kuhalalisha kipigo!! TO Mazembe ins mpaka ndege binafsi!!
 

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
9,115
2,000
Timu za DRC Ni tajiri Sana! Analazimisha kudai hawana fedha ili kuhalalisha kipigo!! TO Mazembe ins mpaka ndege binafsi!!
Ndege siyo tatizo ila pesa huwa zinaisha pia,

Unaweza ukawa na jumba zuri na mpaka gari ila mipango ikienda hovyo utapaki gari lako halina mafuta na hata ya kula nyumbani inaweza kuchenga.

Hata hivyo kwa Sasa As Vita hawaifikii Simba kwenye ulipaji mishahara na ubora.

My take: kumiliki asset hakukufanyi muda wote uwe vizuri kifedha. Labda uanze kuuza asset.

Pia ndege inakodiwa tu kwa mkataba wa miaka kadhaa na kuandikwa jina la club.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom