Yanga mlipeni hela zake Aucho na muache janja janja

Mkuu nilikuwa nakuheshimu kumbe nawewe wale wale wakosefu wa akili za kufikiria. Katika mechi tano zilizochezwa, Aucho kakosa mechi moja tu dhidi ya Ruvu. Ni hakucheza kwavile alikuwa hakuwa na utimamu wa mwili. Na mechi ya leo Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi kutokana na majeraha aliyoyapata wakati akichezea timu yake ya Uganda. Yaani unaandika kama vile Aucho ni roboti hawezi kuumia.

Mchezaji kacheza mechi kibao kakosa mechi mbili tu mnasambaza uzushi. Wachezaji wote walipwe ndio Aucho pekee ndio asilipwe
Nyani Fc mnamshambulia bure mtoa mada, mechi ya mwisho ya uganda alicheza na mali na huyo aucho alicheza dk zote 90 pasipo kutoka haya tuambieni aliumia wapi

CB90F349-0F1E-4B73-9DF4-D8143CA9A335.jpeg
 
Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.

Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa😂😂

Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake 😂😂😂huo ni Utopolo mwingine!!

Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Wamlipe stahiki zake awatumikie,club zetu ziache janja janja.
 
Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.

Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa😂😂

Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake 😂😂😂huo ni Utopolo mwingine!!

Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Taarifa zako siku hizi zimekaa kimbumbumbu
 
Back
Top Bottom