Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Ishu ya Onyango uliona ni nani aliyeamza kusukuma mwenzake lakini mkuu

Pale Yacouba ndio alianza kumsukuma karibu mara mbili Miquissone, Onyango ndio akakasirika akaenda kumsukuma Yacouba, na referee ameviona vitendo vyote ndio maana akaamua kukaushia tu
Yacouba lengo lake ilikuwa kuzuia Simba wasianzishe pigo la faulo la haraka.
 
Alichokifanya Onyango kumpush yule dogo wakati refa kishaweka faulo, tunakiitaje? Kinaitwa Retaliation

Kinaitwa Retaliation ama faulo ya kulipizia

Retaliation is a straight red card because initial incident is seen as a challenge for the ball, whereas the retaliation is seen as violence for violence' sake
 
Mkuu nafikiri ungefungua church hata ka mkubwa gwaji asingekufikia kwa waumini,,, jikite huko mkuu fursa hiyo
 
tulipomkataa refa sio kwamba tulikuwa wajinga
Tulijua kitakachotokea huko,huyu mpuuzi kaua vibe ya mechi kiboya
Hata kama mnahonga lakini sio wazi hivi..
Jumlisha na vitendo vya kihuni vya kina onyango, wawa na bocco tena huyu bocco kaanza kumchezea rafu mkoko since mechi ile iliyopita.mukoko nae ni binadamu na uvumilivu unamshinda

Refa alitakiwa kutumia fair play ukizingatia ilibaki dakika kama 2 kipindi kiishe na ile ni Final huwezi kugawa kadi kienyeji namna ile
 
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!

Yale ya goli nne ile ilikuwa biashara, Tshishimbi Kauza game ile, yaani ninyi makando kando hamtoki
Wacha kujiliwaza, tengenezeni timu ya kushindana na Simba wacheni hizi kelele zenu na ile timu yenu ya mchangani.
 
Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjan na redkadi yenu kapewa maagizo wapi sijui


Ushauri

1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza


2) Wachezaji mjitume dakika zote tisini mkijua hamchezi na wenzenu 11

3) Kama kuna mechi kucheza kwa nidhamu zote n kesho mnapambana si na.Simba tu..


4) Msiwe na hofu na uwoga hata atakapotolewa mmoja wa wachezaji wenu hii ktk kuwaondoa mchezoni


5) Mwisho mtangulizen Mungu ndie muweza yote
Ulisema kweli maana refa na simba na Tff lao moja nini ,sasa yametokea kweli
 
Uongozi wa Yanga ufuatilie mazungumzo ya simu ya Mukoko siku kadhaa kabla ya mechi! Yule boya kapigwa mlungula sio bure
 
Back
Top Bottom