Yanga mechi yenu ya leo imechezwa na mpinzani wako?

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,726
5,475
pamoja na yanga kuwa na kikosi chenye muunganiko ila wanatakiwa wajipange ndani ya uwanja na nje ya uwanja maadui niwengi mno tena wanajionesha kwa rangi zao .

je,unajua viongozi wa mpinzani wako katika ligi wamewatoa biashara hotel ya NDAKHE pale magomeni Kagera na kuwapeleka TUFAN HOTEL nyuma ya uwanja wa taifa ?

je ,nyie viongozi na mashabiki yule Bibi mwenye titi moja pale vingunguti mtaalamu wa mpinzani wako Jana walifukia jezi yenye majina ya wachezaji wako na kuwapa mayai manne yaani kila goli yakafukiwe golini mawili pande zote ??

je ,unajua timu ya Biashara wamepewa bonus ya milioni 30 wakishinda na sare milioni 20 ??

je,viongozi wa yanga na wanachama mnajua mechi ya Leo ni ngumu kuliko ya Simba SC mliyocheza ??

Je ,nyie viongozi mnafahamu sakala la metacha ni njia ya kuwatoa kwenye reli msiangalie na kushughulika mechi yenu ya Leo ???

SASA NAWAAMBIA UKWELI WENZENU MECHI WAMEICHEZA SANA MPAKA KINYAA......

nyie mashabiki wa fb , whatsapp na Instagram mbona timu yenu inachezewa hivi hamtaki kuipambania club yenu nyie jamani nani aliyewaroga ???kwani furaha wanapata viongozi wenu tu ??

Mko wapi mashabiki na wapenzi wenye mapenzi mema na yanga yenu mbona mnachezewa hivi kama watoto wadogo jamani ??

Nikikumbuka mechi ya Leo natokwa na machozi Leo ilitengenezwa sare Safi yaani yanga 2- 2Biashara sijui kwa nini jamani ?? .

Sasa nawahakikishia Kuna watu wema na mapenzi na timu hii hawalipwi Wala sio viongozi wameenda kuokoa jahazi Jana usiku saa 9 na Mimi nilikuwepo jezi imechimbuliwa chini yenye majina mpaka aibu .

Naandika haya kwa uchungu kwa sababu Kuna maadui wengi alafu watu wanachekeana na kutotaka kufanya hatua za kuipambania timu yenu .

Sasa matokeo ya Leo yanga 3- 2 biashara yanaumiza sana haya matokeo na watu hawataamini ila ndio ukweli huo .

Mashabiki ,wapenzi wanachama na viongozi wa yanga msilale kabisa unganisheni matawi yote haraka mno kabis
 
Hili ndilo tatizo la kula Kiporo cha Pilau la Noeli, hapo umevimbiwa ni mwendo wa kunywa maji chumvi na kujamba ka ulichoandika
Mbumbumbu upo?
IMG-20211226-WA0139.jpg
 
pamoja na yanga kuwa na kikosi chenye muunganiko ila wanatakiwa wajipange ndani ya uwanja na nje ya uwanja maadui niwengi mno tena wanajionesha kwa rangi zao .

je,unajua viongozi wa mpinzani wako katika ligi wamewatoa biashara hotel ya NDAKHE pale magomeni Kagera na kuwapeleka TUFAN HOTEL nyuma ya uwanja wa taifa ??

je ,nyie viongozi na mashabiki yule Bibi mwenye titi moja pale vingunguti mtaalamu wa mpinzani wako Jana walifukia jezi yenye majina ya wachezaji wako na kuwapa mayai manne yaani kila goli yakafukiwe golini mawili pande zote ??

je ,unajua timu ya Biashara wamepewa bonus ya milioni 30 wakishinda na sare milioni 20 ??

je,viongozi wa yanga na wanachama mnajua mechi ya Leo ni ngumu kuliko ya Simba SC mliyocheza ??

Je ,nyie viongozi mnafahamu sakala la metacha ni njia ya kuwatoa kwenye reli msiangalie na kushughulika mechi yenu ya Leo ???

SASA NAWAAMBIA UKWELI WENZENU MECHI WAMEICHEZA SANA MPAKA KINYAA......

nyie mashabiki wa fb , whatsapp na Instagram mbona timu yenu inachezewa hivi hamtaki kuipambania club yenu nyie jamani nani aliyewaroga ???kwani furaha wanapata viongozi wenu tu ??

Mko wapi mashabiki na wapenzi wenye mapenzi mema na yanga yenu mbona mnachezewa hivi kama watoto wadogo jamani ??

Nikikumbuka mechi ya Leo natokwa na machozi Leo ilitengenezwa sare Safi yaani yanga 2- 2Biashara sijui kwa nini jamani ?? .

Sasa nawahakikishia Kuna watu wema na mapenzi na timu hii hawalipwi Wala sio viongozi wameenda kuokoa jahazi Jana usiku saa 9 na Mimi nilikuwepo jezi imechimbuliwa chini yenye majina mpaka aibu .

Naandika haya kwa uchungu kwa sababu Kuna maadui wengi alafu watu wanachekeana na kutotaka kufanya hatua za kuipambania timu yenu .

Sasa matokeo ya Leo yanga 3- 2 biashara yanaumiza sana haya matokeo na watu hawataamini ila ndio ukweli huo .

Mashabiki ,wapenzi wanachama na viongozi wa yanga msilale kabisa unganisheni matawi yote haraka mno kabis
Huu uharo umeandika ukiwa unakata gogo mning'inio. Pole sana mkuu
 
Mbona umesahau kutaja ile ml 10 ya GSM aliyowapa biashara united kupitia mkuu wa mkoa wa mara siku walipokuwa wanacheza na simba uwanja wa karume?
 
Naona na wewe umekuwa GENTA wa huko UTOPOLO!
 
Topolo limepaniki
 
hii ligi ya bongo itafika mahali sasa ichezwe timu mbili tuu, maana akili za washabiki wa hizi timu mbili zinahisi wao tuu ndio wanastahili kushinda
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom