Yanga kutumika kumvusha lowassa kwenye urais

Mwandishi wa uzi huu ameishiwa sera.

Kwani lazima kila mtu aanzishe uzi wake? Kama huna point si afadhali uwe unasoma tu nyuzi za Great Thinkers' badala ya wewe kuweka hisia binafsi na za kinazi kama hizi? Hivi umelenga kuisambaratisha Yanga kwa maneno yako haya ya kipuuzi? Nakuhakikishia, UMENOA! Kajipange upya kama yule jamaa asiye kuwa na TemboCard Master Card katika tangazo la CRDB.

Yanga Imara, Daima Mbele, Nyuma Mwiko. Die to hell all who hate Young Africans Sports Club.
Mi sijajakutoa posa ya KUWAOA YANGA MKUU...
 
Wanafikiria kila kitu ni cha kutafiti tu,"ushuzi" uutafitie nini sasa? ya kwamba una rangi gani au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom